sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hapo kwa hiyo picha kuna Tpa, pspf towers, sasa uniambie hizo tower zikijengwa 2009?.......I remember tower ndefu wakati huo zilikua bot tower na ni 72m Kwa urefu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Thibitisha kama ni ya 2017 mimi nina ushahidi ni ya 2009.