Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pub talk
 
As much as infrastructure is involved you should look at the wider picture, comparison involving gdp per capita, and what contributes to the economy, like how many tanzanian companoes make it to the top 100 east african companies as compared to kenya
 
Wewe jamaa mbona unashangaza sana. Unaongelea EA wakati Tanzania tunaongelea Africa nzima.
Tafuta taarifa vizuri kabla ya kuja humu ndani.
 
Mbna Rostam aziz simuoni apo
Au kagawa mkwanja
 
Nyie hamna makampuni mna investers
Yaan wachota hella
 
Kwa barabara mmetushinda kimtindo siyo saaana, ni kidogo tu. Lakini tunakuja kwa speed ya Gamma Ray.
kwa barabara tumewaacha mbali sana...Hanna clover leaf ata moja,uku tumezijaza kibao,mko na interchange moja pekee ya pili mnaijenga ubungo,na izo zote hazitaingia kwa thika road,tunajenga ingine outer ring,ingine niya jkia mpaka rironi,apo sijagusa southern bypass na ngong road yenye inajengwa....mna kazi kubwa sana bado ambayo haitamalizwa kwa ubungo na tazara
 
Kwikwikwikwi. Jidanganye wewe.
 
Kwanza wewe kuna kitu unatakiwa uelewe dar ina Barbara nyingi sana kuliko nairobi sema sasa nairobi Barbara zake ni pana umenielewe lakini kwa Barbara nyingi ndani ya dar utasubiri sana ndugu yangu njia za kuingia ndani ya jiji LA dar ziko zaidi ya 10.....so kilichoisaidia nairobi Barbara ni pana na hizo flyover lakin kwa Barbara nyingi zilizozunguka mji kwa dar mtasubiri sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…