Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aibu zao
 
Welcome back bro[emoji1][emoji1][emoji1] maana hawa tumbili wakikenya washapagawa
BREAKING NEWS: next week from monday narudi jf kwa kishindo...narudi kuliamsha dude...narudi kwa hoja mujarabu na facts zenye ujazo. manyang'au ya kenya mjipange.

niliamua kujiweka kando na social media kwa mda ili ku refresh brain yangu.
 
We no kiboko Yao[emoji23][emoji23][emoji23]
Hio ndio tv ya kibera dah kweli maisha yanawapeleka mbioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ na mbwa pia anaangalia 😁😁😁😁😁

 
Hana akili huyo ...hajui hata capacity ya passenger wanaoingia zanzibar wakiwemo watalii
Msee umekasirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122] uneona vile terminal2 inamaliziwa ujenzi[emoji16][emoji16]
 
Hii ndio Nairobi downtown? Haha Wanjala maneno yoote uliosema juu ya Dar yamejifutia hapa, I thought I told ya that u're city is dirty an unkempt
Hapo ni 2016 kidero akiwa governor,tangu sonko akue governor wa Nairobi imekua Safi kama pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…