Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona mengi mazuri Dar kuna majumba ningetamani yawe Nairobi. Pale Bagamoyo pahali pa historia nzuri. Ancient buildings nk
 
[emoji38][emoji38][emoji38]tunakukaribisha tena,,,karibu kisha tutafute na kwasasa hivi tunakushauri ukija upige picha zakutosha hapo kwenye uchafu wa daraja ili uwathibitishie ndugu zako....
Ila kwa sasa wanjaa umekosa hoja kabisa umeishiwa hoja...
 
Tulimpatia kazi Sonko. Mombasa tukampa Joho. Huezi amini miji hii miwili ilivyo boreshwa kwa sasa. Sahi Mombasa inapigiwa mfano wa Santorini Greece. Blue and white
 
Ebu leta picha ya downtown recent (this year) Ukipata yenye uchafu uilete.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]tunakukaribisha tena,,,karibu kisha tutafute na kwasasa hivi tunakushauri ukija upige picha zakutosha hapo kwenye uchafu wa daraja ili uwathibitishie ndugu zako....
Ila kwa sasa wanjaa umekosa hoja kabisa umeishiwa hoja...
Inakaa hata wewe si mtu wa Dar. Unakaa ni mtu huelewi jiji lako mwenyewe. Nashuku kama hata mwenyewe unajua Dar. Kama unaishi Dar, piga sahi picha kwa simu leta hapa.
 
Kulingana na ukosefu wa hoja kutoka kwa edward wanjaa nakuonyesha dhahili kuwa ni comedian of century [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hebu twende za haya

NAIROBI CITY CENTER UNDERGROUND
.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Attachments

  • 0623-OEASTLEIGH-EASTLEIGH-KENYA-SOMALIA.jpeg
    159.7 KB · Views: 30
Tulimpatia kazi Sonko. Mombasa tukampa Joho. Huezi amini miji hii miwili ilivyo boreshwa kwa sasa. Sahi Mombasa inapigiwa mfano wa Santorini Greece. Blue and white
Hata Dar ilikua chafu miaka 3iliopita kwa sasa walau kunamaboresho makubwa sana, haha ati Santorini lol we jamaa acha kufumba watu macho hapa...
 
Sasa mtu ananipinganisha. Wabongo kweli no bongobongo. Inakaa kama town. Na tena kama village.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unajitekenya. Hapo ni Dar is Slum
 
Nimeona mengi mazuri Dar kuna majumba ningetamani yawe Nairobi. Pale Bagamoyo pahali pa historia nzuri. Ancient buildings nk
Sihua mnasema dar kuna nyumba tatu pekee haha sasa izo nyumba zimeibukia wap tena...tatizo lenu yani kusifia dar mlishaambiwa ni dhambi kubwa
 
Kulingana na ukosefu wa hoja kutoka kwa edward wanjaa nakuonyesha dhahili kuwa ni comedian of century [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hebu twende za haya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

NAIROBI CITY CENTER UNDERGROUND
[emoji116][emoji29][emoji116][emoji116][emoji29][emoji29][emoji29][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
BREAKING NEWS: next week from monday narudi jf kwa kishindo...narudi kuliamsha dude...narudi kwa hoja mujarabu na facts zenye ujazo. manyang'au ya kenya mjipange.

niliamua kujiweka kando na social media kwa mda ili ku refresh brain yangu.
 
Naona mhindi anakupa leave
 
NNaishi kayole siishi Dar ila Nikikosa shughuli zakufanya nitakupigia.....ila kikubwa siwezi piga picha sehemu ambayo tiyari naijua ipo vipi kimazingira ipo poa...
Inakaa hata wewe si mtu wa Dar. Unakaa ni mtu huelewi jiji lako mwenyewe. Nashuku kama hata mwenyewe unajua Dar. Kama unaishi Dar, piga sahi picha kwa simu leta hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…