Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Isiolo international airport is way better than this. An airport in the Northern KenyaThe beast is coming for yoy nairobi..🤣😅View attachment 932661View attachment 932662
Isiolo international airport is way better than this. An airport in the Northern KenyaThe beast is coming for yoy nairobi..🤣😅View attachment 932661View attachment 932662
This one compare with Malindi AirportThe beast is coming for yoy nairobi..🤣😅View attachment 932661View attachment 932662
yes kwani britam ina floor ngapiUmesema interms of floor count.
Tuko na twin buildings kisumu lakini hatupigii watu kelele View attachment 932528View attachment 932586
Sasa umeanza kuhangaika.Mbona unaropoka maneno mengi, unauliza or umeshajua?
Lol.......hiyo mabati rolling mills ndio modern architectureLooks like a military base , have you heard of something called “modern architecture” ? Which includes glass more.


Hiyo go down ya daresalaam ndio tunapigiwa nayo keleleIsiolo international airport is way better than this. An airport in the Northern Kenya
View attachment 932707View attachment 932712View attachment 932717
How many international airports do this fellows have!? I see Kisumu International airport beats this one in Dar hands down.Hiyo go down ya daresalaam ndio tunapigiwa nayo kelele
Britam 200 plus mnara ryt😂😂😂 pinnacle big render thanksBuilding Pinnacle height Floors Year Country
Carlton Centre 223 m (732 ft) 50 1973 South Africa J
Britam Tower[3][4] 200 m (660 ft) 31 2017 Kenya N
Ponte City Apartments 173 m (568 ft) 54 1975 South Africa J
UAP Tower[5][6] 163 m (535 ft) 33 2016 Kenya N
NECOM House [7] 160 m (520 ft) 32 1979 Nigeria L
😂😂😂😂😂 waswahili husema mfamaji haishi kutapatapaLast week nilikuwa na jamaa yangu mkenya nlimwambia the same, why not design them in Kenya? nilimpeleka pale akemi akawa anashangaa view ya the Mighty Dizzim akaanza hizo stories za designed by Kenyans, hehehe sijui yumo kwenye hili jukwaa labda
Lakini we jamaa mara nyingi unakuwa mtu wa kusema vitu vya kitoto sana. Britam na Prism tuli copy ndio inamaanisha nini hivi. Tulicopy vitu gani!!We bwana huachi kunishangaza.
Hii ndio Airport ya Dar!? Na hakuna nyingine Dar!! Yaani hii ndio mambo yote Dar!?
Haujui kama britam na prism design yake mume copy wanjala acha kua na mambo ya kitoto bro 😂😂😂😂Lakini we jamaa mara nyingi unakuwa mtu wa kusema vitu vya kitoto sana. Britam na Prism tuli copy ndio inamaanisha nini hivi. Tulicopy vitu gani!!🤔🤔🤔🤔We bwana huachi kunishangaza.
Kenyans don't beg like Tanzanians......hata afadhali auze njugu cbd ajichumie riziki....and I always buy from them.
Hii ni terminal 3 sijui unaelewa😂😂😂😂😂😂👏👏👏👇👇👇👇Sasa umeanza kuhangaika.