COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Anzisha dar vs New York basis...new York ni 600 sqr km...nyinyi 1590Hahahhahahhhahha povuuuuuuuuuuuu hii ndio bongo 1590.5 km sq hahahhahah nairobi 696 km sq Mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq jumlisha hapo munaishia 1196 km sq ππππππππππ
You suffer from inferiority complex.... Uhuru Kenyatta alone is richer than the whole of dar is slum
Kukua na telecom mingi si shida....main issue ni profit..ukiadd customers wa telecom zote Tanzania haifiki customers wa safaricomUnajua kwann kwasabbu safaricom anatamba pekeake Kenya sisi tunaushindani wa 10 telecommunications companies 10 my friend hahhahahhhhhhahaπππ
Kenyatta worth yake ni 500 million USD huku kuna tajiri anaitwa mo ana worth net ya 1.4 billion usd hehhehhee na yuko among 25 richest people in africaYou suffer from inferiority complex.... Uhuru Kenyatta alone is richer than the whole of dar is slum
Hahhahhahah sio shida ndio communication inakua cheap kila mmoja anajitahidi kuvutia watu 10 telecommunications companies hahhahahhaKukua na telecom mingi si shida....main issue ni profit..ukiadd customers wa telecom zote Tanzania haifiki customers wa safaricom
Soma kwanza hilo tangazo likuingie akilini maana akili yako ndogo sanaAnzisha dar vs New York basis...new York ni 600 sqr km...nyinyi 1590
Niondoe uchafu uweke mavi inaitwa DarOndoa uchafu wako kwikwikwi.
Dar es salaam = Nairobi + Mombasa + Nakuru + Kisumu + Odinga + Uhuruto
Azam Ferry
View attachment 499934
View attachment 499938
View attachment 499939
View attachment 499941
View attachment 499943
Tulikua tunaongelea profit hapa.Hahhahhahah sio shida ndio communication inakua cheap kila mmoja anajitahidi kuvutia watu 10 telecommunications companies hahhahahha
Bongo hiii hatariiiiiiiiiiiii
PovuuuuuuuuuuuuuuuuuuπππππππNiondoe uchafu uweke mavi inaitwa Dar
Nimekujibu kisomi profit yake lazma Iwe kubwa kwasababu hana mpinzani mkubwa lakini Tanzania kuna 10 telecommunications companies na zote ziko wider na kila mmoja anajitahidi kuchukua wateja tumia medulla oblongota au kuna maji yamejaaaπππTulikua tunaongelea profit hapa.
What you should know about East Africa's largest listed company - CNBC Africa
Hapo ndio wewe mjinga sasa.Soma kwanza hilo tangazo likuingie akilini maana akili yako ndogo sana
View attachment 499947
Hapa lazime ukimbie na urudi kwenye kazi yako.Tulikua tunaongelea profit hapa.
What you should know about East Africa's largest listed company - CNBC Africa
Ujue safaricom ni 60% Kenyan owned..izo zenu zote hakuna ya tanzaniaNimekujibu kisomi profit yake lazma Iwe kubwa kwasababu hana mpinzani mkubwa lakini Tanzania kuna 10 telecommunications companies na zote ziko wider na kila mmoja anajitahidi kuchukua wateja tumia medulla oblongota au kuna maji yamejaaaπππ
πππππHapo ndio wewe mjinga sasa.
1.GDP ya network ni equal na Africa yote combined juu ya kukua organised
2.ku add wa2 wengi kwa city italead to unplanned settlements...
3.devolution inasaidia Kenya kudecongest Nairobi na Mombasa
4.ndio maana Nina dar is slum haitachange soon...mtakua tu ka Lagos vile naona
Haha nakimbia wapi...Mombasa has more tourist than dar.Hapa lazime ukimbie na urudi kwenye kazi yako.
This is Dar es salaam mdogo wangu. Kama inakuuma nakuomba ujinyonge
View attachment 499948 View attachment 499949 View attachment 499950 View attachment 499951 View attachment 499952
That's similar with Orange...in fact Airtel you subscribe sh 50 per day unlimitedKwikwikwikwi ndiyo maana bandle ni kiasi kikubwa sana kwenu. Hii cost kwa TZ
View attachment 499955
Usiwe na kichwa maji usifkiri katika telecommunications companies hizo 10 hakuna wanachomilik watanzania usipende kukariri penda kuelewa kulingana na wakati nilishakwambia hii ni Tanzania ya 2017 sio 90sUjue safaricom ni 60% Kenyan owned..izo zenu zote hakuna ya tanzania