Sorcerer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,694
- 2,485
dahhh kwel nairobi kuna mbuz tyu maaana hapa naona magari yote ya miaka 20 naomba kima aliye-post hiii picha aeleze vizuri hiz gar mbovu zinatoka matengenezo au ndo zinaenda afu............wenu wamekalia kula mirungi tyyu gari mbovu zitapitaje kwa barabaraWe umefika Nairobi?? Ama unadhani Nairobi ni Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tz Hakuna Jam. Fika jiji kuu ndio uone Magari. Nairobi ikiamua kupeleka magari zote Tz barabara zinajaa.
View attachment 929280View attachment 929281