Ukiwa Kenya kila siku utasikia habari za Tanzania chochote kinachofanyika Tanzania wanafuatilia, chochote anachofanya magufuli wanafuatilia kwa karibu sana, video na hotuba za Magufuli wanasikiliza sana, lakini ukiwa Tanzania ni mara chache sana kusikia habari za Kenya au za uhuru Kenyatta, habari za Uganda ,Rwanda au nchi zingine za EAC huwa ni vigumu kuzisikia Kenya ,wao wana deal na Tanzania siku zote, hapo ndo utajua kuwa Tanzania ni Taifa lililo komaa, na halinaga muda na kufuatilia nchi zingine.