King excell
Senior Member
- Sep 20, 2018
- 175
- 162
DAR ES SALAAM
jirani yupi huyo??? haha...Kuna jirani zetu siwapendi Basi tu!
Huwa wanajihisi ni wazungu kumbe ni weusi tiii
Tena wamejaa ukabila
long live bro.Mi nilitamani sana Kenya,na hasa sababu ni Moja tu
Raisi wao, kwangu ndio Rais bora zaid kwa Afrika
duh!!!Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Hujajibu swali...jibu tuendeleeSo now CCM inakukereketa moyo wako![]()
sema street of mombasa and not streets hzo picha zote street ni hio hio moja hahaha ila wakenya bana unatuonesha mtaa mmoja kwenye picha zote alaf unasema streets![]()
imekuuma...mombasa all the way..mombasa ina streets nyingi sawia na za mwanza,arusha,dodoma,etc...hapo bado ni island...mainland hujagusa...

Si hii ni level za kisii tuStreets of mwanza my friendView attachment 927756View attachment 927757View attachment 927758View attachment 927759
Kuna bank kenya yajiita bank of kenya?Kwanini wasiuze KPA na bank of kenya
Duh!!si hta bungoma,siaya na county nyingi tu ziko na hotel kali tu sana...wacha kujisifia ujingaA1 hotel and resort
View attachment 927865
Imekuuma...Tutolee huu uchafu🤣🤣![]()