Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikujibu nm we huoni wazungu wakicheza ngoma na hapo sijaona slum bado lakini watu wa kibera wamekasirika kuskia kibera pia ni national park[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwn mwenzio nimesema hzo ni slum...wacha hzo bana..hzo ni middle class houses in dar..mbna wazishusha hadhi hzo nyumba wewe
 
Afrika kusini kuna slums pia. Mpo mbele yao
yaani nyie akili zenu sijui zipoje..
unahalalisha slum dwellings eti kwa sababu nchi zilizoendelea zinazo..kwa hiyo marekani wamehalalisha ushoga kwa kuwa wao wameendelea basi na nyie kwenu ni halali..!!..that's the sign of failed states!
 
Mbona unatoka out of topic rudi hapa chini kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

So Kibeara is no longer a slum but a national park of MankusπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
So Kibeara is no longer a slum but a national park of MankusπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Yap ulikua hujui kama ni source of revenueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sgr inaiva, imagine mbele ya hizi nguzo kutakuwa na hii stationView attachment 927605View attachment 927606
Hiyo station itakuwa na level nne alafu jengo la pembeni ni level 8. Electric train zitakuwa zikipakia kwenye upper floor ya kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚First in East Africa and second in Africa with that kind of a station.
 
Kwanini wasiuze KPA na bank of kenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…