Meanwhile in tz..eti wabongo hawawahusudu wazungu...cheki mitaa ya middle class in tz...yani wamepanga foleni kuwaona wazungu wakipita kw unplanned suburbs zao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwao ni sifa kwasababu ni moja ya attraction of tourism[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] japokua walikasirika kuambiwa kua wanataka kuifanya kibera kua national park
Anataka kutuchonganisha huyo, usimpe nafasi ya kuvuruga penzi letu.
Munaiombea tanzania isifanikiwe wakat ndio kwanza inasonga mbeleππππKumbe leo umeelewa maana ya mawazo ya mtu binafsi...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sasa ya nn kuleta screen shots za Twitter km evidence hapa jf..au leo msapere kakubana ukashindwa pa kutokea...
Yani umejishoot mwnywe leo[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Hhhhh!!!nko seat ya mbele...mara india.sai imekuwa china...next week mara kidogo kidogo USANovember india na feb china[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Utaumia sana na kenya...Uhuru si ndio alieuza nchi kwa madeni we huoni leo KPA inauzwa na Bank of kenya inauzwa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf robo ya kenya ni yake uhuru robo nyingine ni ya white settlers
Mbona unatoka out of topic rudi hapa chini kwanza ππππππππππMeanwhile in tz..eti wabongo hawawahusudu wazungu...cheki mitaa ya middle class in tz...yani wamepanga foleni kuwaona wazungu wakipita kw unplanned suburbs zao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 927615
Mkuu mbona unaingia katika 18 zangu?. Hivi unajua gharama nilizokwisha tumia katika maandalizi ya hiyo safari hadi sasa?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ahahahah nataka kujua bei ya KPA ninae mteja tayariπππππUtaumia sana na kenya...
Mkuu mbona unaingia katika 18 zangu?. Hivi unajua gharama nilizokwisha tumia katika maandalizi ya hiyo safari hadi sasa?
Heri kuwa ba kuliko kuwa na slum countryKwa hiyo jamaa yako anaona kuwa na slum ni jambo zuri kwa sababu India na marekani nao wanazo!!
India novermber and china feb tatizo liko wapi kwakoπππππ vp newyork flight sahii inabeba nzi kwenye ndege tuHhhhh!!!nko seat ya mbele...mara india.sai imekuwa china...next week mara kidogo kidogo USA
Hhhh!!!utaumia sana kijana..huo ndio ushahidiUlikua hujui kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 927595
Shukrani sana MKUU, ila uzidi kunikumbuka katika maombi.Mkuu ngoja nikuachie Tunds lako
Hhhhhh!!utaumia sanaNa wakikuletea uwanja kama huu nje ya nairobi nitag bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 927597
Alaf kweli njaa itawaacha salama??? Pesa za kununua chakula cha nchi pia zinaliwa πππππππππππHeri kuwa ba kuliko kuwa na slum country
Naona hyo evidence umetoa kw ministry of lands..hhhhSo ya uhuru umekubali ryt kabla sijakuletea ya mzungu kwanza kubali moja nikulegee nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitaka atamke hadharani kua anamiliki robo nzima ya kenyaπππππHhhh!!!utaumia sana kijana..huo ndio ushahidi
Shukrani sana MKUU, ila uzidi kunikumbuka katika maombi.