Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona nyie mwatuita watz bongolala..hili tusi nimeanza kulisikia miaka mingi since 2015 hadi leo,lakini sisi wabongo ni watu wa ku-take things easy!
Mnatusi wakenya monkey halafu mkiitwa bongolala mnakimbia kwa mods. Nyinyi ni waoga kiasi hiki?
 
Kumbe it's just a city with two towers, palm trees and lake victoria, oh and bicycle taxis
Yeah, you are right. But better than Mwanza and Arusha combined.
tapatalk_1541450712870.jpeg
 
I don't need to, you see, if you really had the audacity to challenge me, you would have done that already, but here you keep talking and talking and taliking, waswahili wanasema, kelele za chura hazimkatazi ng'ombe kunywa maji
 
I don't need to, you see, if you really had the audacity to challenge me, you would have done that already, but here you keep talking and talking and taliking, waswahili wanasema, kelele za chura hazimkatazi ng'ombe kunywa maji
Naeka moja alaf unabweka na kumi
tapatalk_1541450772376.jpeg
 
Kwahyo hapo mathare mnapumulia shift ili wale wa karen waendeshe vogue?nyie ni watu au wadudu sasa,unajitekenya nn kwani nani asiependa kuishi kwenye nyumba nzuri...mawabagua hao wa matopeni kama sio wakenya vile
Waongea ni km serilali yenu ina mradi wowote na hii hapa.....si afadhali kibera na mathare kuna miradi inaendelea..wacha kuongea ni nynyi ni wakamilifu
tapatalk_1540120709408.jpeg
 
I tried to be honest,I just told you reality,..not only kindergarten kids but also guys who didn't go to school can upload pics,knowing how to upload pics ain't big deal for me,but for you dumb Kenyans..very simple!
Naona walialia sana...sema ufundishwe basi..
Watumia app kuingia jf
 
Back
Top Bottom