Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tourism hub,hotels, restaurants ,casinos, clubs,shopping centres kibao,muingiliano wa wageni wengi,real estate na mazingira yake asilia panavutia sana
Now that qualifies Arusha over Mwanza?
 
Now that qualifies Arusha over Mwanza?
Mwanza is our sec largest city Arusha sio mji mkubwa kama mwanza lakin unavitu vingi vyakijanja
Ni kama Dar ilivyo sehemu kubwa ya Dar iliokaa kijanja Ni kinondoni japo kuna ilala,temeke nk
 
Rongai inatisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kumbe Nairobi yote ni Kibera style๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
First, I have never seen a thread of Kisumu vs either Mwanza or Arusha. Second, if the word overrated is anything to go by then I'm returning it to you. There is no overrated town in Tz like Mwanza.
but no taxi baiskeli in mwanza what about kisumu a city with taxi baiskeli how do u feel๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Mwanza and kisumu are overrated
Serious towns like Dar, Nbo ndio tuko nazo napea sec vote kwa Arusha na mombasa japo kimaendeleo mombasa imeacha chuga
waambie watoe hio bandari alaf uone mombasa inabaki na nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani hakuna maendeleo mombasa ni mji ulionza kujengwa enzi na enzi lakini hakuna kimoja chenye maana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Now that qualifies Arusha over Mwanza?
kisumu ina qualifies gani kua city??? and what about mombasa ukitoa port ambayo tayari mushatangaza kuiuza kisa madeni yametengeneza funza matakoni???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Huyo hajielewi[emoji1][emoji1][emoji1]
anakwambia hawana roho mbaya lakini ukatili wakuuwana wao kwa wao hilo sio jambo la kishetani kwao[emoji23][emoji23][emoji23] tribalism pekee tu ni ushetani achilia mbali kuuwana
 
Ushahidi wa 2007 ndio Mr wowowo unataka kutuletea?
Wachoma vifaranga. Nyinyi ni hayawani wallahi. Mnaweza teketeza viumbe vyenye uhai kama hivyo halafu mnajifanya humu vile nyie ni watakatifu.hao vifaranga si walisikia uchungu jamani! Hayatafariki
 
Ushahidi wa 2007 ndio Mr wowowo unataka kutuletea?
Wachoma vifaranga. Nyinyi ni hayawani wallahi. Mnaweza teketeza viumbe vyenye uhai kama hivyo halafu mnajifanya humu vile nyie ni watakatifu.hao vifaranga si walisikia uchungu jamani! Hayatafariki
ahahahhaha vigaranga mliotujazia sumu na magonjwa alaf tukubali watu wetu kufa haitawezekana kwa hilo, tribalism pekee ni laana achilia mbali kuuwana unalijua hilo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ