Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya wote wachangieni ndugu zenu tuwaachie 👏👏👏👇👇👇

 
Yes ndo sehem mnapoweza kununua ardhi. Hata Tanzania vijijini zipo hizo nyum a.
Hhhhh!!watu kenya hujenga makwao...mjini ni mazingira ya kufanyia kazi kw wengi...na ukitaka kununua nyymba mjini kenya hujisumbui..apartments na estates ziko nyingi sana mijini..
Unanua lkn kwenu bado una kiwanja na unainua mjengo unaoutaka wewe likizo ni kwenda na kula bata tu
 
Mda ndio utasema
 


watu wanashout ati wanajenga mjini ukiona nyumba ni mazingaombwe......all tanzanian towns have this problem of mainly focussing on the cbd and forgetting the rest of the city or town
 
Kibera vs 3/4 of dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…