Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1][emoji1][emoji1]kweli yajayo yanafurahisha....
Umewaachia swali zuri sana hawa walugaluga wakikenya
 
Tz GDP With gold, diamond/tanzanite,gas water, large tracks of arable land, political stability GDP $49Billion
Kunyaland/Kenya with large tracks of arid and semiarid land, political instability, few natural resources GDP $88Billion
source
 
Yaani wewe tokea juzi umekazana ooh harminize anaringa.....mtu kama anamaringo ni yeye binafsi wewe inakuuma nini....

Halafu nawasiwasi na wewe itakuwa unamtaka mshikaji sema tatizo haupo kwenye level hizo upo level za chini halafu nikijina lakini kimuonekano umezeeka[emoji1][emoji1]
Hujaribu sana ku~correct wakenya hawa watu. I also write broken English sometimes. I learnt it from harmonize.
Yeye hukam 10/10citizen tv na kuongea kwa maringo sana eti how do you feeling tonight?
 
Tz GDP With gold, diamond/tanzanite,gas water, large tracks of arable land, political stability GDP $49Billion
Kunyaland/Kenya with large tracks of arid and semiarid land, political instability, few natural resources GDP $88Billion
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡74 vs 52 hehehehπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…