Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeona nyasi na maua tu
 
Usimlazimishe kumjua.pengine hapendi bongo fleva. Nakuonya Mara ya mwisho, usitusi mkenya yeyote nyani, are we together?
Muongo huyo anamjua aslay sana tu ila anakwepa..kwan shida ni gani kukubali,mi mbona nakubali kuwa namjua kaligraph Jones ....
 
It can be modern and the largest but what matters is how busy it will be. JKIA is the busiest in E&C.A

Thank you for your concern my Dear sweetheart,
Nikutoe hofu kwamba Tanzania hatufanyi mambo kwa kutafuta sifa, kama vile kuanzisha ndege ya moja kwa Moja hadi New York ili tu tuonekane kwa wengine hata kama hakuna maslahi,
Ujenzi wa Jengo hili la Abiria umekuja baada ya jengo lililopo kuzidiwa na watumiaji kiasi cha kupunguza ufanisi,
Hivyo basi, kwa hesabu zetu ni Kuwa baada ya Jengo hili jipya lililogharimu $300mn kukamilika mwezi Mei Mwakani, Jengo lingine la Abiria, yaani Terminal 4 litajengwa mwaka 2030,

Ni hisabati za kawaida tu, sio kutafuta misifa.
 
How can you describe music as ugly? Lakini nakuelewa Tanzanian men are hideous especially your musicians
Music ugly ni ule mziki ambao hauleweki,unaimbwa ovyo ovyo,unachanganywa changanywa lugha kikalenjin,sheng,kiingereza,kijaluo,kiswahili,yaani ukiwa unausikiliza unaweza kutapika..
 
It can be modern and the largest but what matters is how busy it will be. JKIA is the busiest in E&C.A
ahahhahaha msumari ukiwachoma huku hua munajikuna kule we unafkiri kwa akili yako kwann tunajenga huo mwiba maana yake terminal 2 imezidiwa na pia kumbuka mwaka huu tanzania inatarajia kupokea watalii zaidi 2.3million watalii pekee😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
Tumeshawajua. Huwa wananunua views.hiki kivulana ni talented ila kina kiburi sana.sasa amekuwa kama wale beggars wengine wanaotuletea. Itabidi tuchange doo tumlipie hoteli na tumpe fare ya kurudi bongo
Unajua nyie wakenya mnajidhalilisha tu hapa,mnaonekana weupe sana vichwani,sasa ngoja nikufunze kitu ambacho hujui
Ukiona mwanamziki yeyote katoka nchi yoyote duniani kaja hapo nairobi,ujue hatumii gharama zake kwa chochote kuanzia fare hadi gharama za hotel,kwa hiyo gharama za hotel hajashindwa kulipa ila promoter wa hiyo show ndo kashindwa kwa hiyo ni swala la mkataba,harmonize kalipia timu ya kwao ndanda fc hotel na fare,ashindwe kulipia hotel,nyie wagonjwa nini!
 
Pako Vizuri sana hapo
Wiki iliyo pita nilipita hapo Nilidhani nipo majuu kumbe Bongo
 
Hatari sana
 
Eti kariakoo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…