Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehhehe utaumia sana bro na salender bridge imeanza 7.2 km modern stayed bridge na mwez ujao jiwe LA msingi linaekwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Utahangaika sana bro lakin huu mwaka kazi munayo
 
aaah...naona tu ma excavator yameegeshwa tu apo kando?hio ndio kazi?ebu ngoja wakianza kuchimba utuletee picha
Ukitaka kuona zikifanya kazi ingia YouTube utaona IPO video unataka zitembee wenye picha au???????? Ingia YouTube video IPO kazi ikiendelea hahahhahahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hehehhehe utaumia sana bro na salender bridge imeanza 7.2 km modern stayed bridge na mwez ujao jiwe LA msingi linaekwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Utahangaika sana bro lakin huu mwaka kazi munayo
now you are just boring man......
 
Ubungo ni yakipekee East Africa
Yaani tutakuwa na Flyover ya kipekee EA
Tuna BRT yakipekee EA
Tuna Daraja lakipekee EA
Tuna jenga SGR yakipekee EA

Hapa naona wenzetu wakitushinda Slum
hapo wabaki nazo zakipekee EA
Na hio bridge inayojengwa sasa ni yakipekee Africa sio EA, tuna modern stadium in east and central, tuna marine transport modern in east and central hahhahaha watatokea wapi hawa
 
Ukitaka kuona zikifanya kazi ingia YouTube utaona IPO video unataka zitembee wenye picha au???????? Ingia YouTube video IPO kazi ikiendelea hahahhahahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hivi ndio watu huanguka mtihani...umesema unaleta picha za ujenzi ukiendelea alafu unaonyesha maexcavator yameegeshwa....ungeonyesha kitu kama hii
 
Tanzania walitangaza imetoka kwenye 3rd sahv ni 2nd
Mwez uliopita wametangaza
 
Lkn kumbuka majengo almost 80% ya DSM yamemalizika hii miaka miwili
Uko nyuma ovious mlitushinda ila c sahv
Ukitaka kujua angalia kwenye competition ya majengo af angalia na year of completion
the only difference is that you skyscraper boom started early na ndio yanakamilika mapema,nai ndio inaanza which is why nyingi bado ziko kwa site prep na zingine ndio wanaanza kujenga...in the long run tutabaki palepale,nai with more skyscrapers
 
kabla bado hamujaweka jiwe la msingi Ubungo Interchange... hii inafanyiwa final touches.
P/s outside Nairobi
Hio ndio ufananishe na ubungo interchange hahhahaha umechelewa sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hivi ndio watu huanguka mtihani...umesema unaleta picha za ujenzi ukiendelea alafu unaonyesha maexcavator yameegeshwa....ungeonyesha kitu kama hii
Hio ndio ufananishe na ubungo interchange inamaana unajichekesha mwenyewe alaf unacheka mwenyewe hahhaahahaha bado sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…