Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

embu lipeni madeni ya watu kwanza daah halafu kitu kingine muwashukuru wazungu la sivyo
madeni tunalipa na tutaendelea kulipa. hatujawai kulemewa na madeni kiasi cha kusamehewa deni lolote.... kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 

Huo ni ujinga tu kutoka kichwani kwako. Kwani nchi xinazopigiwa kura humo ni za wapi??. Si Africa. Kwanini unadhani Philippines humo haimo?. Kwasababu CNN wanajua waafrika tu ndio wajinga wataopiga kura. Yani economy prediction ina predictiwa na votes?!! Waafrika tuache ujinga. Mambo mengine ya aibu hayaitajiki ku postiwa humu.
 
kati yetu na nyinyi, nani yuko hali mahututi
nchi inayokumbwa na njaa kila mwaka na watu kufa kwa njaa unafkiri mutatoka kwenye kundi la failed stateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰
 
nchi inayokumbwa na njaa kila mwaka na watu kufa kwa njaa unafkiri mutatoka kwenye kundi la failed stateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰
namba mutaisoma!!! upende, usipende ni shauri yako
 
wacha kujipa matumaini. kamwe tz haitawai kuifikia Kenya. whether you go to the moon and back... namba mtazidi kuisoma.
Kwa taarifa yako wabongo Hawana ligi. Kifupi jiwekeeni malengo yenu tu sie huku tuna yetu.wazee wa marathoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…