Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Btw I have a question for you.
Are you by any chance related to 'ugly'.?
 
Tangu nianze kufuatilia humu naona tunaelekea kubaya chuki zimezidi au I am wrong.


Hebu wote naomba mnihakikishe ni utani tu?


Bless Tanzanians
Bless Kenyans

We are all Africans and brothers.


Never Creat hates let's enjoy true friendship wher even water drink is sweet Enough.
 
wamekosa chakula wameamua kurudi mapema kwenye neema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Walichelewa kwenda na wanawahi kurudi!! Soon mwandishi wa kikenya ata andika propanganda kama zile za Tz kuchoma moto ili kuwazuia wasiondoke.
 
Pure hatred from Tanzanians
 
fair enough
 
Walichelewa kwenda na wanawahi kurudi!! Soon mwandishi wa kikenya ata andika propanganda kama zile za Tz kuchoma moto ili kuwazuia wasiondoke.
😂😂😂😂 walishindwa na hoja hakuna mnyama atakwenda akae sehemu hakuna chakula never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…