Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bila kusahau ukija uje na akili yakosawasawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ambassadorial house heheh
View attachment 914875
sasa umeanza kubadili goal posts eeh! shida iko wapi na nyumba nilioiweka ??
nilijua wewe ni kilaza tu wa kawaida na huna lolote.
 
sasa umeanza kubadili goal posts eeh! shida iko wapi na nyumba nilioiweka ??
nilijua wewe ni kilaza tu wa kawaida na huna lolote.
sio kubadili unachekesha wewe ndio maana nikakwambia mwenzio kashaharisha nusu debe ilifaa umsaidie kuharisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
sio kubadili unachekesha wewe ndio maana nikakwambia mwenzio kashaharisha nusu debe ilifaa umsaidie kuharisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
brah brah brah meffi wewe. futa account, hamna mwanya roundi hii.
 
kijana unafanya nini hapa?? futa account kama ulivyo sema!
ambassadorial house au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ehhh dunia simama niteremke umenifurahisha sana leo
 
Hii itafikia KQ in 100 years time.....pwahahahahaha
kwa ndege za ku lease heheh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ ndege sio zenu alaf tufike wapi???
 
Huu mji utamezwa na maji come 2050 kwa sababu ya global warming
 
wakenya wote naomba mumsikilize mchumi wenu kwanzia 10:30 plz plzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…