sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
nai tukipiga picha umbali huu,haibakizi kitu mpaka nyani wale wa pale mbugani wataonekana,mind you upanga haipo hapo,victoria haipo hapo.
Dar slum ukiondoa bahariWhat can you show us, Or what do you have after this view?
View attachment 903809
Eti 3 Towers. Wanaume wanasema 5 Towers kwenye hiyo shot.
And after that area we can still show you these.
Mzizima Towers 35 FL & 33 Fl
View attachment 903830
Another 30 storey Rita Tower
View attachment 903832
View attachment 903833
Haka kaeneo sasa Ndio kanakimbiza hiyo CBD yenuKiba idadi Sawa na viminara vyenu viwili. Yaani haka kaeneo mmekashinda tu antennas.
View attachment 903834
Hii ni kaeneo cha upanga, haka kanakimbiza hadi Mombasa, ukitoa hiko ki English marina
View attachment 903839




=westyWewe si ulishasema Dar imechapa??Hahahahaha,naona wakenya wanatumia nguvu nyingi kuleta NAISLUM NA MOMBASA ZIPAMBANE NA THE MIGHT DAR ES SALAAM!?? viva DAR
Wapi Aviv, UAP,Anniversary, UoN, KCB, Britam, Hazina?
tuliwaruhusu kitambo,wakiamua wanaweza weka somalia pia.😀😀😀Naona kwenye hii battle ni Dar es salaam vs nairobi+mombasa........Hahahahahahahahahaha
Hahahaha hii inaitwa kuzidiwa.
Hahahaha hii inaitwa kuzidiwa.
umezidiwa na nini???Hahahaha hii inaitwa kuzidiwa.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha,Nairobi yote ni upuuzi nini hii
Nairobi hakuna wasafirisha mikaa.. Nairobi nzima mnatumia gas sio
Lakini huyo jamaa anafanana na hiyo makaaNairobi hakuna wasafirisha mikaa.. Nairobi nzima mnatumia gas sio








