Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Jichoboy is always like that. Kupinga kila kitu. Hata ukimshw ye'hubonga na mdomo atapinga na kusema ye'hubonga na knuckles.Ngoja uone Ichoboy akipinga. Tuusan said clearly that free education started in 2016 alaf someone comes here ati ilianza during mkapa.
Kwhyo kuhusu umaskini wa tz si muhimu kwako...heheee!!!ukwel unauma kumbe...30ml of your people are suffering en you are here yapping like a small boy...hoo kenya ni maskini..na wakati mumetuzidi katika hyo sekta...unapo ni quote hakikisha una jambo la maana sana kuniambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na jee BetinTanzania ama hakuna betin huko?
Imekuuma...hhhh!!!!Kwani kenya na mombasa zinafikia GDP ya ethiopia???
This article is about the Articles of Union of Tanganyika and Zanzibar. For the Articles of Union of England and Scotland, see Treaty of Union. For the Articles of Union at the Council of Florence, see Laetentur Caeli .
The Articles of Union of Tanganyika and Zanzibar of 1964 is the main foundation of the Constitutions of the United Republic of Tanzania of 1977 and the Zanzibar Revolutionary Government of 1984. The Articles of the Union were signed on April 22, 1964 by the Founders of the Union,
Julius Nyerere and Abeid Amani Karume and agreed in 11 matters which later increased to over 22 and are the source of tension and dispute between Tanzania mainland an..
Chekini wasee wameungana ila bado wanapumulia mashine...
Huu muungano ni wa vipofu na viwete...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watasema hapo ni Abidjankwanza msafishe hii beach yenu...see pspf or whatever you call in the background.
View attachment 903247
Huo hta haumizi...mnajisifia na zenji wakati mumeumgana ila bado mna mark time tu...Then ur point is????
Unaumia sana kuona huu muungano ama nini???
Naona vibanda vyakutosha pale mbelemombasani
View attachment 903487
Hivi nyie wakenya mbona akili zenu ni zero!!??! Tanzania kwanza shule ya msingi hadi sekondari ni bure bure bure.. .....Duh!kumbe hata hawana elimu ya bure ya shule ya upili
Tanzania inejenga modern electric train in africa phase mbili kwa pamoja ambzao ni 722km total by 2019 phase one itakua imekamilika na 2020 phase itakua imekamilika sijui sura zenu mutazieka wapi beo😀😀😀😀😀😀
Huo hta haumizi...mnajisifia na zenji wakati mumeumgana ila bado mna mark time tu...
Kwel jamani..nchi mbili zimeungana ila karibia kila sekta mnaburuta mkia...aibu sana
Watasema hapo ni Abidjan
Tafut mda uje city mall nyali..kuna mgahawa mmoja mzuri sana...nitakupa hayo maelezo kw kina[emoji3][emoji3][emoji3]abidjan ya kenya.sio mbaya hata kuna geneva ya africa.
Wewe mtoto nilikuonya dhidi ya kuninukuu. Uwe unaninukuu kama una hoja muhimu. Sasa ukitwambia tuna akilizero nasi tutawaambiaje?Hivi nyie wakenya mbona akili zenu ni zero!!??! Tanzania kwanza shule ya msingi hadi sekondari ni bure bure bure.. .....
Hii ndiyo mombasa asili??!!? vibanda tupu hapo,Arusha imechapa mombasamombasani
View attachment 903487
You still dodn't have anything.
Arusha..unamaanish kile kijiji cha bongo...Hii ndiyo mombasa asili??!!? vibanda tupu hapo,Arusha imechapa mombasa