Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna Mkenya anayeweza kufanyia pesa mbuzi kama hio kwa mwezi... hata hapa Kenya hakuna mshahara wa aina hio
Sasa mi ndo nnamshuhudia kwa macho hafu still unakataa na tena ukimtishia kumchoma uhamiaji analia kilio cha umbwa mwizi.
 
Sasa mi ndo nnamshuhudia kwa macho hafu still unakataa na tena ukimtishia kumchoma uhamiaji analia kilio cha umbwa mwizi.
sema tu ni wewe lakini unaogopa kujitambulisha. hakuna mtu atakuchapa hapa. kubali hali yako.
 
Hivi nyie WAKENYA NI VICHAAA AU!??????? Mnaanzisha mambo wenyewe ya 30'000!?? halafu mnakazania utafikr ni kweli hiyo 30'000 ni kibarua analipwa kwa siku au masaa machache tu!!hahaha
 
sema tu ni wewe lakini unaogopa kujitambulisha. hakuna mtu atakuchapa hapa. kubali hali yako.
Mi ndo nmepangisha mjomba ako afu ako na dream kuja kuwa politician ili awakomboe kwa mikono ya dhuruma ya kina uhuruto
 
Kibosho, Kilimanjaro
6151419685_f843075a7c_b.jpg
Dobx7LjWkAAKW3m.jpg
 
Nairobi Inatesa, Ethiopia sijui sasa watapeleka maskio wapi, Kwanza Sonko ameokota mabeast wote wa Jiji akawamwaga Kasa, including kamjesh ya Gor![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20181014-181027.jpeg
FB_IMG_15395196321295882.jpeg
 
Back
Top Bottom