Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Semeni misiba kufuatana. Utekaji nyara na timu yetu kufungwa bao tatu bila.Jana tumeshinda zile za
Samahani waiter ongeza glasi
Muhudumu ongeza glasi
Acha nilewe nilewe tu
Nileeeeeeeeeeeeeewe
Poleni majirani bad luck happens to everyone
 
Semeni misiba kufuatana. Utekaji nyara na timu yetu kufungwa bao tatu bila.Jana tumeshinda zile za
Samahani waiter ongeza glasi
Muhudumu ongeza glasi
Acha nilewe nilewe tu
Nileeeeeeeeeeeeeewe
Poleni majirani bad luck happens to everyone
Wewe nyani mara ya kwanza siulikuja jf ukijidahi SISTER na gospel music!!! imba sasa hiz nyimbo mbona unaimba bongo fleva,? Tz ndiyo kinara wa-music EAC,Ebu uliza Mtz yeyote anayejua mstari hata mmoja wa nyimbo za kenya ukipata ni-tag???
 
Do you Kenyans know the owner of this bu
Unaomba msaada kwa El Matador who does not reside in Nairobi
Wewe ndio unajua ninapoishi...Ok.Drug dealers kama nyinyi kudeal nayo kazi rahisi......hebu muwachilie mwarabu wa Oman dewji
 
Waganda wamejaa Kenya as domestic workers and watchmen. Wanakuja Kenya maana wanalipwa vizuri. Tzed domestic workers wanalipwa 30000tshs.Walimu wa shule za msingi 100000-200000tshs.Sasa niambie nani mwenye akili timamu anaweza toka Kenya aende kuajiriwa tz.maybe for business purposes only
Kufanya kazi tz haina maana basically hand to mouth affair.
...hata mimi afadhali I pay mama fua 1000 bob for cleaning my house
 
Back
Top Bottom