Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Wewe wa kupeana challenge ulienda wapi? Mao ya bom 3 inawashindaAnnael always claims to know everything..Kadoda is a old mzee who knows history and umbeya...I can give them a challenge hapa watoroke
hata ww pia unaogopa madem??
Mwambie huyo mkenya mwenzenu apambane na hali yake [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 893737
Nilitulia tu background nkawa nacheki upepo mara pap wakatuma pepa lao la chem eti complete missing element kwenye periodic table dah.... wakati nikikumbuka adv chem huku kwetu sio mziki wa kitotoVyuma zimekaza??
Ila kwa sayansi hii tulioiona jana humu wanayosoma wakenya!!!!!wacha watibiane wenyewe.
You took so long though. Hizi hesabu tulifanya form 4 ilawaowanazisoma form 6.ni rahisi sanaNaona nilipewa mtihani asubuhiView attachment 891991
sema uko intimidated.... acha kuuma uma meno kama demMwanamke akiwa mjinga ni wa kuogopa sana.
Baby usiwe mkali ivo?Mimi si mnyonge unavyofikiria. Sasa mimi nitukanwe kama nimenyamaza? Nikileta hoja zangu napokea matusi. Can't you see there are cyber bullies here? Mimi sipendi ujinga. Ni nadra sana kuniona nikitusi mja yeyote bila sabab.u.MTU anakwita nyani ilhali yeye ni nyani kilaza. Kiufupi it's tit for tat game.. A very fair game indeed
Noma sana ,hii ingekua 254 tusingekunywa maji humuHizi pia ni same location mkuu.
View attachment 893685
View attachment 893682
View attachment 893683
View attachment 893684
Weuweeeeeee.........Kenya is on steroidsyow bro...this is kenya
Kenya
kwani hatuna malls, kwani cruise hips hazijawahi kufika Dar port? kwani hatujengi sgr? tena yenu mnaliwa hela na wachina na ninasikia karibia wachukue mombasa port. Serikali yenu iko desperate sana sasa hivi kufuta deni na china mpaka wakatoa proposal ya kutax gasoline up to 16% halafu unataka kuniambia hivyo ni vya kwenu? majengo sio muhimu kama seriakali au wananchi hawafaidiki na chochote.yow bro...this is kenya
Kenya
kwani hatuna malls, kwani cruise hips hazijawahi kufika Dar port? kwani hatujengi sgr? tena yenu mnaliwa hela na wachina na ninasikia karibia wachukue mombasa port. Serikali yenu iko desperate sana sasa hivi kufuta deni na china mpaka wakatoa proposal ya kutax gasoline up to 16% halafu unataka kuniambia hivyo ni vya kwenu? majengo sio muhimu kama seriakali au wananchi hawafaidiki na chochote.
true story right thurr!Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo
Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe
Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
kelele unaleta wewe, that wasn't meant for youJust post your photos we post ours.....kelele za hornbill tuache
iza broMtupe breki kidogo maisha magumu huku
Loliza bro
mpe ajira kaka.... si unajuwa kenya ajira ni ngumu sana kupata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie huyo mkenya mwenzenu apambane na hali yake [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 893737