tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ata kwenye forum za kimataifa hukuti mtu anaizungumzia mombasa broo...tembelea www.skyscrapercity. com African cities skyline uone namna gani daresalam ni jiji katika majiji mle na watu wanaoyajua majiji wameappreciate kilichofanyika sio ww unahisi kicc ndio kitu pekee cha kuiondoa Dar thaman as landmark your wrong!!Ndio maana nmekusho jilinganisheni na Mombasa...Nai ni league ya Johannesburg
mombasa waijua wewe
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app