Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masomo ya shule za msingi Tanzania. 1.Civics 2.science 3.vocational skills 4.personal studies 5.Geography 6.History 7.French 8.English 9.Kiswahili 10.Mathematics 11.Religion. 12.ICT
Duh!!masomo yote hayo...

Primary school in kenya...
Compulsry...
1.maths
2.english
3.kiswahili
4.science
5.social studies
6.RE(religious education)
 
Oooo...yani km vile bongo moviee..part 1 na part 2..hahaaaa!!!
Yani hao watoto wote wako nchi moja...hko ni kutojielewa walahi
 
Hyo day nlikuwa maji kw keja fulani ya msee...so stimu ilinipeleka mbaya..wakafikiria nkm naishi kw dream houses...
 
Wacha kuni quote km hujaelewa mada wewe
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
 
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
Heheee!!bro...mbna warukia mashaza matako wazi...utapasuka mk.... 😛 😛 😛
 
Oooo...yani km vile bongo moviee..part 1 na part 2..hahaaaa!!!
Yani hao watoto wote wako nchi moja...hko ni kutojielewa walahi
Hahahaha,mbona hamna shida wanafunzi wanatakiwa waelewe lugha yao ya taifa na lugha mbili kuu dunian english na french.
 
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
Alafu nakwambia we huez nambia kitu...we kwangu km fyatu tu...kisha hamna kitu bro...alafu luki mwanangu,mi nakuchukulia doro tu...
 
Big up leo nipo upande wako...hii uchafu inayoitwa sheng ilinipa shida sana nilipokuwa Nairobi mwaka 2016,ni lugha mbaya inachanganywa changanywa yaani inatia kichefuchefu,unaweza kutapika ukisikia mkora wa Nairobi akizungumza!
 
Sasa unataka kulinganisha huu uchafu wakufugia monkey huko us na Dar avenue Germany!!??seriously
 
Niliona jinsi walivyokuzungusha mpaka ukasalimu amri. Walipokwambia wewe ni mkaazi wa kibera ulikasirika sana jambo lililopelekea wewe kuwajulisha pahala ulipo. Ni kawaida yao kuwaambia wakenya waliomo kwamba ni kiberians. Nilicheka sana hiyo siku.
We acha2...bt huaga nikiwa sober hawawezi nikasirish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…