Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzizima tower is the tallest building in Dar
tapatalk_1538656931333.jpeg
 
🙂 🙂 🙂 🙂 hyo kali bro....wakimaliza waregee makwao...si wajuwa bado wanaishi kw wazazi wao

Aisee labda wewe mgeni una update za pineacle huko site,ni kweli kwamba bado haijaanza kuja juu,au hawa jamaa tulio nao hawataki tu kuleta picha za karibuni?????
 
Aisee labda wewe mgeni una update za pineacle huko site,ni kweli kwamba bado haijaanza kuja juu,au hawa jamaa tulio nao hawataki tu kuleta picha za karibuni?????
We tulua tu..siku ikifika utaletewa kitu ubaki kushangaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hapo kw boda boda sasa...ana madhumuni gani kw vijana..manake domo yasemekana naye yumo katika kile chama...kidogo hapo kw boda napatilia shaka...
Lkn tuwaombee hao vijana maisha mema..manake dhamira ya chibu ywaijuwa mwnywe
 
Back
Top Bottom