Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I skip foreign trips to avoid ze ze ze ze laiti tlaki, Magufuli says

ni ukweli usio na chembe ya shaka kwamba rais wetu JPM hawezi kuzungumza kingereza kwa ufasaha.
hilo halina ubishi na tumelikubali.

uhuru kenyatta licha ya kwamba anazugumza kingereza vizuri, ziara zake nyingi za nje hazijasaidia kitu kuhusu kupewa gari moshi chakavu na wachina.

kingereza chake na ziara zake nyingi za nje hazijasaidia kitu kuhusu kuiondoa kenya kwenye top three ya nchi zinazodaiwa deni kubwa na uchina.

unaweza kuwa msomi unayejua sana kuzungumza kingereza lakini ukawa kilaza katika ku-review and interpret documents zinazohusu international treaties kati ya nchi na nchi.hapo ndio nahisi uhuru kenyatta na team yake wanapoingizwa choo cha kike.

facts pound to pound.
tapatalk_1538648029421.jpeg
 
Kweli mzee wangu...sai vijana wengi wameanza kukomaa kw county zao...sasa wewe utaendaje mahali then huna kazi wala mtaji wowote ule wa kuanzia biashara...si utaishia kuishi kwnye slums...

Anyway kuna wengine siez walaumu...wao wamejikuta nairobi na hawana pakwenda..sasa inabidi ujanja utumike...ile naamini serikali inalifanyia kazi hilo swala..km kutoa mikopo kw vijana ili kujiendeleza na biashara ndogo ndogo angalau
 
hatusajahau, hii battle mpaka sasa ni counties nne zinazounda nairobi metropolitan vs dar es salaam. uki add na mombasa inakuwa counties tano vs dar es salaam.

View attachment 886421
Tunajua Dar es saluum ni Tanzania so we saying 4 counties Against 947,303 km2 of Tanzagiza which to me is alright, si unaona mpaka sindano umejidunga madawa kupunguza maumivu hadi ukajisikia mwenye nguvu
 
Tunajua Dar es saluum ni Tanzania so we saying 4 counties Against 947,303 km2 of Tanzagiza which to me is alright, si unaona mpaka sindano umejidunga madawa kupunguza maumivu hadi ukajisikia mwenye nguvu
porojo vs fact...
 
of course suicide isn't something to joke about.that i know very well.

but jamaa zako hawataki kukubari ukweli kuwa kifo chake kimesababishwa na "ugumu wa maisha nchini kenya uliopelekea kukosa rent".

wanakuja na speculation zao licha ya kuwawekea ushahidi.
View attachment 880328View attachment 880329
Aisee watajinyonga wengii tena sasa hivi kuna ban ya chakula toka Tanzania.
 
Back
Top Bottom