Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii thread mahali inaelkea ni mbaya......mtaanza hata kupost wazazi wa watu humu...smh
hii ni battle...katika battle siraha yoyote huweza kutumika kunyorosha the other side....so tusichaguliane siraha pls. [emoji23] [emoji23]
 
natabiri ID ya Msapere very soon itaanza kuwa inactive.....tutarajie ID mpya yenye jina jipya.

ni kama tu vile ID ya collomzii ilivyotoweka baada ya kupata life ban toka kwa moderator. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kitendo cha kuweka photo yake ata kama umeziba sura ni sawa na kumtishia mtu, hizo ni indirect threats and warnings that you are capable of exposing him. That's not being well mannered or matured. What if he is recognised kwa shati alilovaa au simu aliyoshika?
 
Wacha kupost picha personal za mtu bila consent yake...respect your age Bana.
 
natabiri ID ya Msapere very soon itaanza kuwa inactive.....tutarajie ID mpya yenye jina jipya.

ni kama tu vile ID ya collomzii ilivyotoweka baada ya kupata life ban toka kwa moderator. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi pia nilirudi round 2 lakini huwezi nifahamu[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
haikopoa like serious
Wewe umejichanganya mwenyewe Kwa kudhani Kenya JF ni sawa sawa na Kenya talk shukuru unatea Gok la sivyo ungekua unamtusi Uhuru sasa hivi ni pingu tu usimlaumu aliye kuweka open Kwa sababu is your mistake
 
Hapana hapo wanamsaidia kumfundisha kujilinda asifanye upuuzi kama huo siku atakuwa anatafutwa na vyombo Vya serikali Vya kwao Kwa sababu mbalimbali itakuwa rahisi kumpata kama atakuwa mzembe bora tumfundishe hapa hapa huyo msapare
 
Hapana jamaa wanajaribu kumfundisha huyo msapare asije kufanya uzembe in future jf is a school
 
Character assassination is an attempt to tarnish a person's reputation. It may involve exaggeration, misleading half-truths, or manipulation of facts to present an untrue picture of the targeted person. It is a form of defamation and can be a form of ad hominem argument.
 
Suit for damages (compensation) for defamation and criminal proceedings u/section 499 and 500 IPC are maintainable if the alleged defamatory content is false in nature and has been published.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…