Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jinga sana lile jamaa. yaani anathubutu kuja kwenye jukwaa la watu makini kama hili kudanganya eti watu wa mataifa ya kimagharibi huwa hawashindani.eti waingereza na wajerumani huwa hawashindani.real?.

hafahamu kwamba watu wa mataifa makubwa walishaacha kubishana kuhusu makazi bora, walishaacha kubishana kuhusu flyovers, walishaacha kubishana kuhusu appartments, walishaacha kubishana kuhusu highways.hivyo vitu vyote walisha vi-achieve miaka mingi iliyopita.

kwa sasa mashindano yao yapo katika uvumbuzi wa zana za kiteknolojia. taifa lenye teknolojia kubwa ambayo mataifa mengine makubwa hayana ndio linaibuka kinara.

kule youtube ukipitia comment section utabaini kwamba waingereza, wamarekani, warusi, wajerumani, wachina and the likes, mijadala yao imejikikita katika ubishani wa nani anaongoza kumiliki teknolojia ya zana za kivita, mawasiliano ya kidijitali na teknolojia inayohusu masuala ya cyber warfare.

sisi ndio kwanza tunajikongoja hivyo basi ni halali yetu kubishania vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu kama flyovers, highways, appartments, slums etc.

hakuna ubaya katika hilo almradi hatuvunji sheria za jf na kanuni za TCRA.
 
hapo ndipo location yako imenipeleka[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndosehemu ulipo. Your parents are civil servants??[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo magofu na ya tangu 1970s ndio unayatuma humu ndani...tononoka si tandale...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Tena huo ni mtaa wa kawaida...

Ni vile tu barabara zingine zimechapa..hay wewe komaa na mgofu ya 1970s...mwanzo hta k/koo kuna mahali kuna magofu tangu wakoloni...
 

Attachments

  • 20181002_133130.jpg
    54.5 KB · Views: 29
  • 20181002_133004~2.jpg
    53.6 KB · Views: 32
Dar is slum hakuna majengo bana .......ni machache sana ili yafike kiwango cha kuporomoka
Ulishssikia jengo hata moja lililoporomoka New York, Tokyo, London, Paris, Cape town au nchi yoyote iliyoendelea?. Corruption kills.
 
hapo ndipo location yako imenipeleka[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndosehemu ulipo. Your parents are civil servants??[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tononoka imekuwa buxton...
 
umeanza kuleta nyumba za wanaume wenzako![emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nme rent..na nalikubali hilo...msapere ndo size yako mi bado mdogo san kwako...kakwambia umuonyeshe nyumba yako...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi😂😂😂😂
 
flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Achilia mbali teknolojia wazungu wana ubishi mpaka wa barabara na viwanja! Yani kama sisi tu. Ila sisi tumeshuka kidogo kutokana na hali zetu.
Tumsamehe, Alikosea njia. Huwaga wanajirekebisha kwa kutokomea.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeumwa...umekajaribu kuiharibia sifa tononoka sasa umeshindwa...unaingilia wahindi...[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] at home....[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
inachoma kama pasi[emoji23]🤣[emoji23]alafu jengo ground floor limeandikwa bachellor[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 884504
Kumbe hata kusoma hujui...councellor imekuwa bachellor...hahaaaaa!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kijana wahi hospital Asap. muonekano wako unaonyesha una upungufu wa kinga mwilini(acquired immune deficiency syndrome).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…