Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poor quality...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheki height hyo kwanza na nguzo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] View attachment 883298
machungu yako utayamalizia hapa siwez kukupa kigamboni bridge kwasababu sio level yako pamabana na hii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Double stack containers, carry on with the bullet train talks
View attachment 883173
Kitu quality..class 1..
Haya sasa hyo ya ethiopia na ya tz wanazodaisha ni za umeme wajaribu kubeba double...kisha eti wanadai mchina katucheza..nynyi ndo mumechezwa vibaya buda...
Class 2 ukibeba double stack si reli itangoka budaa...

Kenya hawatuwezi ukanda huu walai
 
ni kiazi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ilkuwa unataka tuifananishe na hii[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Tehehehee Hata the mbeya, Dodoma, Tanga, Arusha villages nazo ni cities?Please get serious for once
 
Sportlesa hoyee!!naona mwisho wata sponser mpaka hyo ligi yenu..msikomae tu
there is one theory that says "money follows money(pesa hufata pesa).

kilichofanya sportpesa waje ku sponsor baadhi ya vilabu vya tanzania ni kutokana na ukweli kwamba tanzania premier league ndio league kubwa na ya pekee inayo generate revenue kubwa kuliko league zote za mpira wa miguu EA(i can prove it if you ask).

sportpesa hawajaingia tanzania kupata sifa za kijinga, wameingia tz kwasababu wanajua watapata profit. it's strictly business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ