Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasikitika kukuambia kwamba uko chini sana kwenye reasoning!
 
7.weusi
8.vannesa mdee
9.jux
10.Mr.nice
11.janjaro
12.Ay
13.mwana FA
14.OMG
15.Prof jay
16.Mr 2 sugu huyu hadi kachorwa kwa matatu
List ni ndefu sana
 
Heheee!!kumbe wewe pimbi hv..kw taarifa yako kipaji bila kitu cga ku backup ni zero...kw mfano nitajie msanii mkubwa yyte ambaye hajawekeza mkwanja wake katika biashara...
Alafu kw akili zako wewe..hamisa kamzidi frasha na nn km si make-up na uchawi
Sasa we kwa akili zako zooote unampanisha mobeto na frasha???
Aisee wakenya mko na serious problem!
 
Huyo diamond mnayemsifia hapa...si ogopa dejays ndio ilimtoa mataani..ndo haachi kutoa shukrani kw wakenya...akili zake kw sasa si za ki ldc..thats y ana refer kenya km hz second home
Haya sawa nitajie ngoma moja tu ya diamond aliorekodi ogopa djz
 
Sauti Sol wako na mziki mzuri kuzidi wasanii wote Kenya,nyashi have got something to do!
He doesn't need support from you and he is doing better in Kenya alone while your artists rely on Kenya for YouTube views and shows. Imagine if Kenyans open their eyes and see how much you loathe them and start supporting their own? Too bad that they have no clue. I think majority know about you though.
 
Jibu swali..kati ya charlie puth na chris brown marekani..nani ndio habari ya mjini...
Haya ya kwamba kaisha unayaleta wewe..
Haya jibu hoja sasa
We jamaa unaonekana mshamba sana,Chris brown aliisha kitambo
Superstars wa marekani kwa sasa ni Kendrick Lamar,drake,migos akina upset na quevo,chance the rapper,and father of Assad a.k.a DJ khaleed himself
 
Ahaaaa you sound funny sista,we started it by ourselves,so we don't need you Kenyans..
Tanzania pekee ni soko kubwa la mziki wetu,bongofleva inaimbwa kwa kiswahili,ni kwa ajili ya waswahili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…