Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tengeru-Sakina dual carriage way 14km Arusha
tapatalk_1537936291091.jpeg
 
nikuonyeshe post yako uliyoleta kuwa kenya ina 100 cities according to Wikipedia nikakuambia wikipedia siyo reliable source uaibike hapa
Wewe ndio hkumuelewa hyo mrembo...alimaanish kenya cities + towns ziko 100
 
Hahahahaha, JINA JIPYA LA UHURU KENYATTA=H.E PRESIDEBT USHURU KENYATAX OF DENICRATIC LEPABLIC OF CHINYA,Jamani kenya imeuzwa,
 
Yuko rafiki yangu anasoma Hubei- China anasema pako vizur sana yaani ni bado kidogo ifikie level ya Dar lakini kwa kule bado haijapewa city status...sikia unaambiwa Kenya kuna town 100 lakin wacha uonyeshwe hapa Ni vitu vya ajabu
 
their third city
bicycle-taxi-with-a-young-luo-man-carrying-a-black-african-lady-passenger-AEY63J.jpg
bikeboda.jpg
 
Tanzania ina-cities 6 vs Kenya 3,kwaiyo hata mngekuwa na county 1000 zinaweza kujumlishwa lakn zisikutie mikoa hata 2 ya Tz kwa ukubwa.
Ati umesema Tanzania kuna city ngapi?just Ile moja najua dar zingine no vijiji tu
tapatalk_1537469109226.gif
 
Back
Top Bottom