Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

there's nothing more confusing and painful to a woman than being ignored by a man she loves.[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Povu linakutoka mungiki!!
Icho alikuwa anamjibu monkey mwenzio kaleta takataka za citizen TV ndo anasema high quality hahaaaaaaa
 
asante sana JPM. hatutaki ujinga round hii.

tanzania ya sasa haihitaji watu wanaokuja nchini kwetu huku wakiwa wamebeba agenda ya siri ya kuja kuua mashirika yetu.

kama kuna mtu atakuwa kaumia na uamuzi huu, akumbatie transformer ya kenya power.hapa kazi tu....povu ruksa.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
asante baba Magu, endelea kupigilia misumari
 
Haha akumbatie transfomer lol kadoda unavituko[emoji23]
 
Tanzania ina-cities 6 vs Kenya 3,kwaiyo hata mngekuwa na county 1000 zinaweza kujumlishwa lakn zisikutie mikoa hata 2 ya Tz kwa ukubwa.
City sita...lkn city status ya ki ldc...imagine after arusha hzo zngne zote ni upuuzi...eldoret na nakuru bado hazipewa city status ila zimeshinda city km nne au tano hapo katika hzo zenu sita
 
It's either you are ignorant or you don't know history, who was the first to get independence bt SA and TZ? Unajua national Anthem ya Zimbabwe?
Niliiona hiyo post nikaidharau nikaona haina haja ya kumjibu kilaza,wakenya ni watu wa kuwasikitikia,wao hawajui history, hawajui chochote kuhusu Africa,wakati sisi tukipambana kuikomboa afrika,wao wako wanakuna matako ya mzungu,hata mashuleni kwao hawafunzwi history,wanafunzwa jinsi ya kuongea fluent English..
 
boys will always be boys, i'm a boy too so i know i want i'm talking about.

they couldn't resist the temptation from a beautiful tanzanian girl so decided to ask her for a photo..
View attachment 881442
Mwanzo hamisa hapo ndo inakaa kaomba photo...ywashangaa na frasha ywafanya mziki..vile vile ni doctor...
Kaona heri akwale photo naye manake bongo wasanii kichwani elimu ni zero
 
naona kuna monkey moja imeumia sana kwa kitendo cha vijana wa kikenya kupiga picha na binti mrembo wa kitanzania na kupost kwenye page zao za instagram.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unamaanisha nini wewe? Wakenya wanafunzwa historia na jiografia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…