Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans are ever generous .Kama walemavu wakenya ndio wangekuwa bongo wangeteketezwa kama wale vifaranga wallahi
if kenyans are that generous as you claim, kambas at the border of holili wouldn't be begging our government to grant them tanzania citizenship.facts pound to pound.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
tapatalk_1537893671936.jpeg
 
Orodha kitu gani watuweke na orodha ya nchi zenye flyover kuonyesha tumepiga hatua au zenye streamline.
Hahahahaha! Mkuu umeua. Ukipenda chongo bwana, walie tu! Flyover na DReamliner moja tayari tumekuwa kifua mbele. Kenya walikuwa wanatucheka kwamba waliponunua Dreamliner hata magazeti hayakuandika, Waliandika habari za Mwajuma kamwaga mboga ya watoto huko Kericho kwa kuwa hiyo habari ilikuwa muhimu kuliko Kenya Airways kununua Dreamliner.

Wee ngoja siku awamu hii ikurudi wewe ndio utajua uchungu wa Tanzania kutokuwa ya amani. Ipo siku, tusubiri tu. Hakuna aliye salama. Hata shangazi zako watapigwa tu siku moja.
hahahaha... lls
 
nilikuhaidi kuwa nitahakikisha nafanya kila jitihada ili uonyeshe rangi yako halisi,nimefanikiwa katika hilo.

ona sasa, tumekugusa kidogo tu kwenye makalio yako umeshindwa ku-control emotion, umeanza kurusha ngumi hewani.umejam...ume-catch feelings
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sijui kwa nini mc shubiri na idris wanalazimisha talanta ya uchekeshaji na hapa kuna mchekeshaji mashuhuri hapa
 
if kenyans are that generous as you claim, kambas at the border of holili wouldn't be begging our government to grant them tanzania citizenship.facts pound to pound.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 877728
Who host the biggest number of refugees in East Africa? Tell me because I don't know
 
You know nothing mahn! Tembea Kenya. Tanzania is a hypocritical nation. You expose your true colours here when you show how much you loathe kenyans. In short you are the tribalists
kenya mm nimetembea sana tena hakuna nchi nimepata kuona maisha magumu watu masikini wakutupwa kama kenya afadhali hata uganda aisee😂😂😂😂😂
 
Who host the biggest number of refugees in East Africa? Tell me because I don't know
next time before you raise a question, make sure you have enough details about it.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
IMG_20180925_210012.jpeg
Screenshot_2018-09-25-21-01-21-022_com.miui.calculator.jpeg
IMG_20180925_205907.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20180925_205907.jpeg
    IMG_20180925_205907.jpeg
    45.1 KB · Views: 37
I will give you a hint to know my identity .even if you expose me here I have nothing to lose
the wait is over, do it now pls. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].

send me your hint via a private message box within jf.i'm a gentleman so i will keep it a secret. that i promise.
 
Back
Top Bottom