PowelTz
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 596
- 373
Hii hofu uliyonayo bila shaka inatokana na matokeo mabovu mfululizo tuli-draw 1-1 na ndanda,tukafungwa na mbao hii yote ni kwasababu ya huyu kocha mpya haifai simba kabisa,tukitaka kujinusuru inabidi tumfukuze immediately.leo mwadui yupo nyumbani, mida ya saa kumi jioni atacheza na simba.
nina hofu sana aisee....