Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wapi umesikia kariakoo kuna jengo lina ufa??
Apart from this holed boxes type of architecture ni nini ingine iko kariokoo??? Jengeni vitu spacial bana. Kariokoo haina class infact ni soko sijui hata tunacompare nini hapa plus let's not even go to the streets utatoroka hapa.
tapatalk_1536680092265.jpeg
30444906453_476a92e615_b.jpg
tapatalk_1533749289339.jpeg
26218748897_e5c2de7b65_b.jpg
tapatalk_1532458304230.jpeg
62eafd18_z.jpg
tapatalk_1532458543819.jpeg
 

Attachments

  • DEdf7vYXsAAv9Gr.jpg
    DEdf7vYXsAAv9Gr.jpg
    84 KB · Views: 24
Nimeshangaa hbr clouds TV kuwa ombaomba wameshindikana kuondolewa dsm.

Mtaa wa Libya mwandishi anaonyesha wamama, wabibi na wazee wamejaa kwenye mavaranda wamepumzika usiku baada ya kazi nzito ya kupambana na hali zao kwa njia ya kutuomba pesa (kazi ya kuomba pesa)

Pia watoto kibao wamezagaa utadhani kuna chekechea ya kata mitaa hiyo.

Mkuu
Shindwa madawa
Shindwa usafi
Shindwa viwanda
Shindwa elimu
Shindwa kuonyesha resatislipu
Shindwa kupeleka yard za magari kigamboni

Ila hawa jamaa kuwarudisha dodoma (wengi wamesema wanatokea huko hasa bahi ) nakushauri utumie mbinu za mtaka RC kukimbiza mwizi kimyakimya sisi wapitanjia tufaidi matokeo tu hata tusipokuona na kukukusikia tutajua ni wewe maana tulikusikia uliposema hutaki kuwaona jijini kwako.
duh! poleni sana.
 
Apart from this holed boxes type of architecture ni nini ingine iko kariokoo??? Jengeni vitu spacial bana. Kariokoo haina class infact ni soko sijui hata tunacompare nini hapa plus let's not even go to the streets utatoroka hapa.View attachment 865550View attachment 865552View attachment 865554View attachment 865556View attachment 865557View attachment 865558View attachment 865560
Kwani Kariakoo unafikiri haina buildings zenye mvuto!!!?
au buildings zote za hapo Westy zina mvuto? ni baadhi tuu, basi hata Kariakoo pia kuna baadhi ya majengo yanavutia... glasses storeys zipo nyingi tuu
 
Kwani Kariakoo unafikiri haina buildings zenye mvuto!!!?
au buildings zote za hapo Westy zina mvuto? ni baadhi tuu, basi hata Kariakoo pia kuna baadhi ya majengo yanavutia... glasses storeys zipo nyingi tuu
Ebu leta izo buildings nione.
 
Back
Top Bottom