Makonda usikubali kushindwa na ombaomba mkuu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,511
Nimeshangaa hbr clouds TV kuwa ombaomba wameshindikana kuondolewa dsm.

Mtaa wa Libya mwandishi anaonyesha wamama, wabibi na wazee wamejaa kwenye mavaranda wamepumzika usiku baada ya kazi nzito ya kupambana na hali zao kwa njia ya kutuomba pesa (kazi ya kuomba pesa)

Pia watoto kibao wamezagaa utadhani kuna chekechea ya kata mitaa hiyo.

Mkuu
Shindwa madawa
Shindwa usafi
Shindwa viwanda
Shindwa elimu
Shindwa kuonyesha resatislipu
Shindwa kupeleka yard za magari kigamboni

Ila hawa jamaa kuwarudisha dodoma (wengi wamesema wanatokea huko hasa bahi ) nakushauri utumie mbinu za mtaka RC kukimbiza mwizi kimyakimya sisi wapitanjia tufaidi matokeo tu hata tusipokuona na kukukusikia tutajua ni wewe maana tulikusikia uliposema hutaki kuwaona jijini kwako.
 
Wafanye kama Idd amin, kwenye tipa, then RIP
 
Mkuu, suala la omba omba ni tatizo kubwa kuliko wengi tunavyolichukulia.. Utatuzi wake hauhitaji kukurupuka.. Alikuja Makamba Senior hapa akamrudisha mpaka marehemu Matonya kwao Dodoma, bt mwisho wa siku omba omba wakarudi..
 
Ombaomba sio wa kuwaondoa kirahisi hivyo ni kazi ngumu sana na zinahitajika busara za hali ya juu kwani nao ni binadamu
 
Kawasambalatisha wauza ngada na watumiaji wote Dar hawezi kuwashindwa hao
 
Jiji la Dar ukifanya kazi Kwa kideo unafeli tu.Pita mida ya Saa nne Au Tano usiku kariakoo ni kuchafu balaaaaaa yaani kama dampo
 
Mkuu, suala la omba omba ni tatizo kubwa kuliko wengi tunavyolichukulia.. Utatuzi wake hauhitaji kukurupuka.. Alikuja Makamba Senior hapa akamrudisha mpaka marehemu Matonya kwao Dodoma, bt mwisho wa siku omba omba wakarudi..
Alivyokuja Barack Obama Ombaomba walipotea mitaani
 
Alafu kuna ... anasema fatueni tu. ngoja niishie apa
 
Back
Top Bottom