Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sasa Tz kwenye ishu za majengo classic tukae pembeni tuwapishe wakenya hawana mdhindani labda tubaki kupost huduma za afya kama mahospitali na sgr ambayo haina uhakika kukamilika
kumbe hata wewe pia umeona..... πŸ˜€
 
Can you Nairobians please post new things!? Tumechoka na picha zilezile swagger zilezile. There is any new thing from Nairobi!? In Dar es salaam we have multitudes of new things.
 
lol......maybe in your head........hii nairobi usipovisit you will never understand it....................bonge la jiji.............
Westlands ndio hiyo na haiko kwenye picha na inatoshana na Dar slum yao[emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Can you Nairobians please post new things!? Tumechoka na picha zilezile swagger zilezile. There is any new thing from Nairobi!? In Dar es salaam we have multitudes of new things.
direct translation.....
 
Can you Nairobians please post new things!? Tumechoka na picha zilezile swagger zilezile. There is any new thing from Nairobi!? In Dar es salaam we have multitudes of new things.
jamaa hawana kitu kipya.ni kama nairobi ime stuck pale pale ilipokuwa mwaka 2015,2016,2017.

ila nawasifu kitu kimoja hawa jamaa. wapo makini sana katika kuchagua angle nzuri za kupiga picha.
 
Can you Nairobians please post new things!? Tumechoka na picha zilezile swagger zilezile. There is any new thing from Nairobi!? In Dar es salaam we have multitudes of new things.
Which one's?.... Because I don't see anything new from Dar slum except those blue tower's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…