huo sasa ndio utumwa wa kifikra/kiutamadunj.don't generalize. am a Metal fan. i don't do hip-hop or reggae/ragga/dancehall, bongobongo shit
miaka ya nyuma wakati mziki wa tanzania ulipokuwa unapitia katika transformation ya kutafuta recognition, dance hall ilikuwa ipo juu sana.nimeuliza tu. si kwa ubaya.
endelea kusikiliza Amber Lulu tu.huo sasa ndio utumwa wa kifikra/kiutamadunj.
mtu mweusi na mapenzi ya mziki wa metal wapi na wapi buda?.
Sikia Lewis, hata ukitazama K24, Citizen, KTN, Kass, KBC and the likes kwa wiki havikosi vipindi ya Jamaican Rhythm wanakaa zaidi ya 3 hours on air ni ushuzi wa Jamaica tuudon't generalize. am a Metal fan. i don't do hip-hop or reggae/ragga/dancehall, bongobongo shit
Sasa wewe monkey uongo gani kuna UPANGA EAST NA UPANGA WEST hapa dar es salaam jaribu google map uone naona unachanganyikiwa na maeneo ya darsame same things with different names.......we know your tiny developed strip .......hizi uongo mmetuchosha nazo
endelea kusikiliza Amber Lulu tu.
haha. it depends na 'market audience' yao. kuna watu hawapendi mainstream media so hutawapata waki-watch hizo vipindi. mi hu-stream my music online, zenye hunibamba huwa sisiti kuzi-download.Sikia Lewis, hata ukitazama K24, Citizen, KTN, Kass, KBC and the likes kwa wiki havikosi vipindi ya Jamaican Rhythm wanakaa zaidi ya 3 hours on air ni ushuzi wa Jamaica tuu
Kwahiyo hii kasumba ni lzm u generalize the whole Kenya
okaaay [emoji23] [emoji23]heavy metal ni mziki wa keshatani.
mziki huu umechangia sana kuharibu vijana wa kizungu kwa kuingia katika ushoga, matumizi ya dawa za kulevya na mauaji.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Soon all Kenya vs dar es salaamit's now official, four counties in kenya which form part of a so called nairobi metro are competing with dar es salaam.
thank you kenyans for letting us know.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji41] [emoji41]
mimi ngoma zangu ni rumba na sebene za kikongo. napenda kusikiliza muziki ya generation yangu.endelea kusikiliza Amber Lulu tu.
But bro, try to listen Bongo Flava deeply utaipenda nakuapiahaha. it depends na 'market audience' yao. kuna watu hawapendi mainstream media so hutawapata waki-watch hizo vipindi. mi hu-stream my music online, zenye hunibamba huwa sisiti kuzi-download.
miziki ya visiwa vya caribbean haina nafasi tz.okaaay [emoji23] [emoji23]
so bongo hakuna dancehall artists?!?!?
ni mwendo wa kukimbizana na Salome tu? πππ
safi sana. nashindwa mbona umemsahau mzee Franco Luambo Makiadi. aina hio ya mziki huwa haipandi kichwani mwangumimi ngoma zangu ni rumba na sebene za kikongo. napenda kusikiliza muziki ya generation yangu.
hawa ndio watu mimi hupenda kusikiliza kazi zao nikiwa nimechil kwa bar au nikiwa na-drive: fally Ipupa, ferre gola, wenge bcbg,wenge maison mere, madilu system, koffi olomide, werrason, jb mpiana and the likes.
huyo amba lulu sio wa generation yangu so siwezi kusikiliza mziki wake.
sina hio time.But bro, try to listen Bongo Flava deeply utaipenda nakuapia
Bongo kuna talents buda sio utani our Bongo Flava akina Nigerians wanaijua vizuri so usiichukulie poa,
asante kwa renderCytton towers 35floor triplets coming soon in kilimaniView attachment 864355View attachment 864356
evidence plzππππππKRA collects double TRA..KPA is 10 times worth TPA
yani CBD mpaka westland yote inaonekana ππππππ alaf unataka kushindana na dar
is that 20 floorsππππππMimi naeka vitu viko kilimani mwingine anaweka sijui viva za posta .....king distinction 20 floor towerView attachment 864407View attachment 864408