Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha...you have nailed it bro...haki wewe sio mtu wa mchezo mchezo...mwisho wa siku jobless msapere ange claim kuwa hii picha ni yake anapata sima kwa nyama choma.
Dude why is employement a big deal..bragging here on a mere 30k salary...we know the people who brag are very poor like u
 
don't get confused with the foreign number plate, the owner is a successful tanzanian young man who goes by an instagram ID of marleydollars.
hapa kazi tu

View attachment 862744View attachment 862745View attachment 862747View attachment 862748
gari10.jpg


truck1.jpg
1536658928211.jpeg

news0-1455448153.jpeg

jeep1.jpg

jeep1.jpg
 
TTTR!!! THIS IS MY BEST AUTO FABRICATORS SO FAR!
These guys literally convert your ride into something else, i have been a fan for a long time now....big up to these guys, ni wanoma sana nawatambua...
Wewe mlevi wa magari kama mm Hawa jamaa lazima uwape marks zao...Yaani washkaj ni kiboko yao hapa mjini
 
TWO RIVERS

7728733_two2_jpegfd94246649272ff438ba3310ec11954b



NAKUMATT GALERIA (Watanzania najua mnashindwa hizi Nakumatt kwani zilikuwa ngapi zinafungwa na haziishi)

6909548537_66edecebdd_b.jpg



NAKUMATT RIDGEWAYS

Ridgeways-banner11.jpg

P6030736.jpg


WESTGATE MALL

6122902526_6a2fc39711_b.jpg

4020909721_f9691dce1a_b.jpg
 
Dude why is employement a big deal..bragging here on a mere 30k salary...we know the people who brag are very poor like u
wewe jobless acha povu bhana...nipo busy sana mda huu....tukutane jioni nikiwa kwa pub.
 
tupe ya 2017 au 2018 inayoonyesha idadi ya simba mlio nao kwenye mbuga zenu.

nakupa masaa 24,ukishindwa wewe ni kilaza.

tuwekee na source, hatutaki statistics za kupika.
Why bring 2004 kenya and 2018 Tanzania..foolish argument
 
Wewe mlevi wa magari kama mm Hawa jamaa lazima uwape marks zao...Yaani washkaj ni kiboko yao hapa mjini
Napenda jinsi wanafanya kazi yao na high professionalism, na nawapa heko hasa nikiwaona wanavyokua kwa miaka...wanapata wateja hata kutoka Nairobi,wanakuja all the way...na mmiliki wa hio kampuni ni Kijana mdogo kweli
 
Napenda jinsi wanafanya kazi yao na high professionalism, na nawapa kongole hasa nikiwaona wanavyokua kwa miaka...wanapata wateja hata kutoka Nairobi,wanakuja all the way...na mmiliki wa hio kampuni ni Kijana mdogo kweli
Yeah wako vizur sana,sahivi wanapata hadi wateja wa Malawi
 
Back
Top Bottom