kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.tayari ameshakushtukia... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanza bado iko chini kabisa.Mwanza View attachment 859707View attachment 859708View attachment 859709View attachment 859710View attachment 859712View attachment 859707View attachment 859708View attachment 859709View attachment 859710View attachment 859711View attachment 859712View attachment 859713View attachment 859714View attachment 859715View attachment 859716
kifusi boy, kiwiko, Zuwenna.... mpoo???? tupieni maoni yenu basi tuweze kuwaokoa wakaazi wa Tabora kuhusiana na hili janga.Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Hey Lewis, are you a Tanzanian by any chance?kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.
kwa hivo mzee baba, take your time____
Mwafrika wa kwanza kutoka kwenda kusoma Uingereza. ..hata wewe mpiga debe wa jubilee akili iyo hunaKwani Nyerere alikuwa mtu wakwanza kusoma Tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 859683
why do you ask?Hey Lewis, are you a Tanzanian by any chance?
punguza jazba buda.kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.
kwa hivo mzee baba, take your time____
Bucause your swahili doesn't typically sound like a kenyan's.. [emoji3]why do you ask?
"likely".... which means they're not.punguza jazba buda.
btw huo msaada ni bora ungeanza kwanza kuutowa kwa jamaa zako wakenya hapo hapo ulipo mda huu.
tafiti inaonyesha, nationwide katika kila wakenya wanne, mmoja ni chizi,kichaa,hana akili sawa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859754View attachment 859755
Kiswahili wamejifunzia humu jamvini walikua wanaandika vitu vya ajabu sana hapo awaliBucause your swahili doesn't typically sound like a kenyan's.. [emoji3]
lols.... i try my brother.... at least in writing. you wouldn't understand me when you hear me talk.Bucause your swahili doesn't typically sound like a kenyan's.. [emoji3]
"likely".... which means they're not.
Thats exactly my point Tuusan... kwa kuona hilo, you have proven kwamba hata kama kielimu tuko nyuma kama nchi mpaka sasa hivi, akili ni kitu ambacho kila binadamu amezawadiwa na Mungu... na ni very powerful.. vito wangu ni sisi kama Watanzania kubadilisha mindset kikamilifu kwa maendeleo yetu sisi wenyewe..Ofcourse hatujakosea kila sehemu, lakini kwenye upungufu tukubali na tuende na spidi ya dunia ya karne hii..Kiswahili wamejifunzia humu jamvini walikua wanaandika vitu vya ajabu sana hapo awali
haha, depression and anxiety??? really tho!i have realized you are the 1 in the 4.
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859778View attachment 859779
tag me if have you seen "likely".
[emoji23][emoji23][emoji23]
nearly 4 million of you suffer from mental disorder. haki wakenya ni machizi.haha.
kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora πππ hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another levelnearly 4 million of you suffer from mental disorder. haki wakenya ni machizi.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 859792
mimi nakuwekea vielelezo wewe unapiga porojo.kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora πππ hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another level
4m si kama watu wote wanaoishi Nairobi?kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora πππ hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another level
Alienda mwaka gani?Mwafrika wa kwanza kutoka kwenda kusoma Uingereza. ..hata wewe mpiga debe wa jubilee akili iyo huna