joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Vipi laana ya Kenya kuzalisha magaidi duniani?Uko sure??![]()
![]()
ju the last time I checked albinos are still smuggled from kenya to Tz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi laana ya Kenya kuzalisha magaidi duniani?Uko sure??![]()
![]()
ju the last time I checked albinos are still smuggled from kenya to Tz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah. Ukiwa na njaa kumbe una hasira hivyo. Tanzania na rwanda tulitaka kuzuia mitumba and we're still debating. Kenya hawawezi acha vaa mitumbawe albino muncher usiingize mambo ambayo hayapo au hayakukusudiwa...ujinga wako staki mie...bei ya vitenge pelekea mamako...umeskia nina haja ya kujua bei?![]()
![]()
bla bla bla pelekea nyanyako..staki kujua bei ya jambo lolote mimi....sijui mtumba sijui vitenge...kwani nimekuuliza?Hahah. Ukiwa na njaa kumbe una hasira hivyo. Tanzania na rwanda tulitaka kuzuia mitumba and we're still debating. Kenya hawawezi acha vaa mitumba
Kenyans are so funnybla bla bla pelekea nyanyako..staki kujua bei ya jambo lolote mimi....sijui mtumba sijui vitenge...kwani nimekuuliza?
au we muuzaji vitenge umeamua kupeleka biashara mitandaoni?![]()
Julius is just the same as u..he has his own opinionsYou know him very well am sure, aliwavua nguo dunia nzima ikajua kwamba "Not yet uhuru Kenya"
Maeneo kama hayo sio yakwenda unanjaa njaa ,same as Upanga, Mikocheni,Masaki,Posta, Oysterbay,Kariakoo kama unataka plot lazima umwage pesa...hapa sijasema kiasi najaribu tu kuweka uhalisia wa mambo !!fun fact
yap hapo ma foreign investors sana sana ndio huwa wananunua ardhiMaeneo kama hayo sio yakwenda unanjaa njaa ,same as Upanga, Mikocheni,Masaki,Posta, Oysterbay,Kariakoo kama unataka plot lazima umwage pesa...hapa sijasema kiasi najaribu tu kuweka uhalisia wa mambo !!
Hii picha kali haina mbwebwe
Anytime from now tunaweka BRT Lanes hapa Hii ni Sam nujoma road
Hii ndio Daslam buana! Watoto wa mjini wanavyoiita, huu mji asilia wa mtu mweusi, anayeongea Kiswahili, wapi miji wa English speakers then!😁😁😁😁
hii ni nairobi sio dar.