Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Wewe tatizo lako unasomaagazeti ya Kenya akili zao ni sawa na wewe, lete source ya hii habari kama sio gazeti la wakikuyu.
Pili hatuzungimzii idadi projects badala yake tunazungumzia thamani ya projects zenyewe, nchi inaweza kuwa na projects nyingi lakini ni projects ndogondogo kama ilivyo Kenya.
Ninaridia kwamba, thamani ya projects za Tanzania (Sio idadi ya projects) ni kubwa kuliko thamani ya projects zote za the remaining Other East African countries, kumbuka kwamba Tanzania inapata 60% ya total FDI ya EAC.
Ili kuthibitisha hili, wowo horodhesha projects zote za Kenya, Uganda, RW, SS na Burundi na thamani zake interms of $, tulinganishe na Tanzania. Mimi ninaanza na
1) Uganda TANGA pipeline. $2B
Sent using Jamii Forums mobile app
sipendi porojo mimi. I mean hata kabla niingie Google crome kuresearch east Africas leading Country in projects & project revenues, the only name i see ni Kenya all the way!Ebu niletee link backing up your urgument na mimi nikupee kumi hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app