Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

38585023591_9cec9a0e49_o.jpg
38552373862_7810b5325e_o.jpg
37868095314_d4e24bd4da_o.jpg

Crowne Plaza
C92deQSXcAAJXzs.jpg
 
Yaani mpaka unajionea aibu mwenyewe. Punguza povu v
Kijana kisha tumia akili yako vizuri la sivyo utaonekana punguwani. Umewekewa picha zaidi ya mia wewe unakuja na povu na maneno meeeengi kama mkazi wa kwenye slums za kibera.
Dude do u own jamii forums...vitisho baridi utapelekea mamako na ndugu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just upperhill, hata bado old CBD ama Westie,
29692463323_cab5929438_o.jpg
economy_global_bran58772c31a198f.jpg
30470479905_ee97d6af85_o.jpg
gHfnegB.jpg

sijui tuangalie westlands kidogo?
 
I have just gone through Addis Ababa vs Nairobi video na nimerealize interms of Infrastructure Addis comes number 2 After Nairobi & here's the list.
1. Nairobi
2. Addis
3. Dar
4. Mombasa
5. Kampala
Hio ndio top five tuseme ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Dar, we've CBD, Upanga and Kijitonyama
Hizo sehem tatu kwa ukubwa wake na kulivyojengeka zinatosha kuzitoa jasho hizo mnazoziita CBD zenu
Kumbuka CBD ya Dar ni comprises of Posta, Kivukoni, Kisutu and Mchafukoge
Hapohapo Kariakoo, Mnazi Mmoja na Gerezani sio CBD
 
Hatuongelei quantinty hata kibera nikubwa but tunaongelea quality the value of upperhill is soo high that international companies are scrambling for it. This is what we call quality
tapatalk_1535771470016.jpeg
tapatalk_1535771457124.jpeg
tapatalk_1535771433057.jpeg
tapatalk_1535769549421.jpeg
tapatalk_1535769601218.jpeg
tapatalk_1535771402282.jpeg
azcr7dizg8afa59e1ca5e513dd.jpg
tapatalk_1532457937304.jpeg
tapatalk_1532458543819.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Dar, we've CBD, Upanga and Kijitonyama
Hizo sehem tatu kwa ukubwa wake na kulivyojengeka zinatosha kuzitoa jasho hizo mnazoziita CBD zenu
Kumbuka CBD ya Dar ni comprises of Posta, Kivukoni, Kisutu and Mchafukoge
Hapohapo Kariakoo, Mnazi Mmoja na Gerezani sio CBD
Wharrathese???
 
Upanga and kijitonyama arent even close to hurligham and kilimani...u will compare that with umoja and buruburu in eastlands

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom