Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pride of africa yo
DTO9aixWsAYfH57.jpg
KQ.jpg
CxW9LPBVQAAQat-.jpg

KQ2.jpg
But dont just put light skinned chicks only...put dark skinned also

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa urembo wasichana watatu ambao ni air hostesses wa air tanzania, ni sawasawa na wanawake wote wa kikenya wanaofanya kazi kenya airways.

hakika nchi yangu imebarikiwa kuwa na wanawake wazuri.
waambie hao naona hawajui
 
hahahaha dark skin ndio real identity ya mkenya.

yaani mkenya hata aishi newyork city for 20 years akila pizza na burger, weusi wa ngozi hauwezi kumtoka.
akili za kikoloni hizo...light skin is not always better...nyi ndio wale wakujipaka paka vipodozi ili mfanane na wazungu ila ni waafrika..big shame.. mchew...twajivunia kuwa weusi titititit
 
But dont just put light skinned chicks only...put dark skinned also

Sent using Jamii Forums mobile app
dark skinned wapo pia kwenye picha usijifanye hujaona...na tunajivunia ngozi yetu nyeusi by the way...Lupita is an example of a very dark skinned kenyan and we are very proud of her...huwa hatu bleach bleach ngozi zetu tunajivunia uafrika wetu
 
You are making noise here with one imagineray 18 floor building which is yet to be started while Kisumu has three 17 floors with the other two yet to be compleeted taking them to five upon completion. Uon Kisumu campus iko Fifth floor while Tuffoarm mall also at fifth floor.
majengo yenye 17 yako wapi yuoneshe😂😂😂👆👆👆👆 alaf nikushushie majengo ya arusha alaf tuone kama utakaa hapa
 
akili za kikoloni hizo...light skin is not always better...nyi ndio wale wakujipaka paka vipodozi ili mfanane na wazungu ila ni waafrika..big shame.. mchew...twajivunia kuwa weusi titititit
punguza hasira msee, dark skin ndio real identity ya mkenya whenever he/she goes.

yaani mimi huwa spati tabu kumtambua mkenya nikiwa katika miji mikubwa ya tz.

btw nasikia juzi ukiwa tao ulikwapua mobile phone ya mwenyewe...pls usitumie excuse ya u jobless wako kufanya ukora, utakuja kufa ungali bado kijana mdogo.

ona vile wasee wamekufanya
Point%20Blur_Aug312018_200620.jpg
 
Kwa upande wa majumba NBO Hamna kitu inaambia Dar, roads kwel mmejitahidi..barabara Za Dar zinahitaji maboresho esp highways ...
NBO kitu ingine imezidi Dar Ni Malls esp two river Na garden city the rest hata Dar ziko tu za ukubwa wa 30sqm kadhaa
Upande wa usafiri Dar imewapiga vizur tu hilo Hakuna wakubisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dark skinned wapo pia kwenye picha usijifanye hujaona...na tunajivunia ngozi yetu nyeusi by the way...Lupita is an example of a very dark skinned kenyan and we are very proud of her...huwa hatu bleach bleach ngozi zetu tunajivunia uafrika wetu

the level of your dark skin is out of east africa region.

i'm being caught up in a situation where i can't differentiate a kenyan and a south sudanese.

hata mkijaribu kuji bleach,haisaidii.
 
Back
Top Bottom