Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania presidential aircraft๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 852173




kenya presidential aircraft๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 852174





akili kichwani kwako๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ nilikua namuandalia file lake sababu ndege yenyewe ipo kwenye standard ya hizi za kinagwajima haiwezi kukaribia cost ya Gulfstream ya JPM labda wauze KQ fleet zote wanazomiliki
 
Arusha baby!!!!!!!
ARUSHA-CITY-B.jpg
 
Tanzania nao wakianza kuwa handcuff na kuwa deport hao nyan'gau wanitonye!! Ninao hapa kama 30 hivi hawana document yoyote halali au haramu inayowaruhusu kuishi na kufanya kazi hapa! Wengine wameshanunua viwanja na nyumba na wameenda kusomba wenzao wengine! Kiukweli hili suala la uzamiaji nchini kwetu linatufadhaisha na kutudhalilisha sana sisi wananchi hasa wa mikoa ya mipakani! Wakenya wanaingia hapa kwa majigambo kabisa kuwa hili ni shamba la bibi kwa hiyo wana haki na uwezo wa kuingia muda wowote wanaotaka bila kusumbuliwa na yeyote!! Hadi watakapo wafyeka vichwa wa tanzania wenzetu ndipo tutakapogundua kuwa hawa watu wanatudharau na kuidharau nchi yetu!
pole sana boss!
na wewe pia tia bidii ununue shamba na ujenge kisha uwache kuwa na kinyongo kwa wenzako waliofanikiwa.... nye nye nye nye. kwerra
 
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ nilikua namuandalia file lake sababu ndege yenyewe ipo kwenye standard ya hizi za kinagwajima haiwezi kukaribia cost ya Gulfstream ya JPM labda wauze KQ fleet zote wanazomiliki
hawamiliki chochote ndege zote wame lease kwa mzungu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
 
kisumu inataka kushindana na arusha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
hawamiliki chochote ndege zote wame lease kwa mzungu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€yaani mnawaandika mama ntilie wawahudumie wasafiri kwenye ndege?๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
DlwZMp_X0AA2CbG.jpg
 
angalau...wale mama ntilie walikuwa wanawatia aibu tupu...yaani ni kana kwamba ni wauguzi toka hospitali ya Turkana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Have you realized that you just insulted your own country, not ours
 
Back
Top Bottom