Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni countable yenu uncountable...mavi ata iko njee ya kwako sai man..waah
Yani wewe kinachokusumbua kichwa ni bongo 2017 hio mwaka inakutesa sana wala hutaki kuikia bongo 2017 hahahaahhahahah...kikwete kawafanya mbaya sana na magufuli ndio anakomelea misumari kabisa hahahaha😀😀😀
 
Hesabu kwenye hiyo module ya picha
sasa wewe sindio ulibisha delta enzi zile tulopkuletea render yake..ukaleta building yenyewe ukisema building inaeza kufupishwa.saa ii umeanza kurudia kile ulikataa.ebu leta picha ya hiyo finished building tuione apa
 
Hesabu basi ziko ngapi sasa??????? Mbona hujibu 😀😀😀😀😀😀😀😀
Dick mingi twende facts 70% wako slum hadi wewe.....man ata harufu ya mavi imefanya usilale lol........this killed me
68fbbd1d25d76a720fe45d87b4ec4977.jpg
 
u
Mwite mwenzako tulikubaliana aje maana jana alikubali bao over 20 so Leo below 20 nimuwashe mabao tena hahhahhahahha sina kawaida yakuogopa mm wakat wote mm ni kaz kaz
sijichoche apa when uliishiwa mpaka ukaanza kucook data 12 floor unasema 21,15 unasema 21..huoni haya mwenzako tuusan alikurekebisa
 
Kwenye mega projects tumewachapa mabao sijui mutatokea wapi 😀😀😀😀😀😀😀😀 mwaka huuuuuuuu mbayaa
 
u

sijichoche apa when uliishiwa mpaka ukaanza kucook data 12 floor unasema 21,15 unasema 21..huoni haya mwenzako tuusan alikurekebisa
Hehehhhhhehe umekuja enhhhhhhh safi sana tuendeleee maana kuhesabu pia huwezi 😀😀😀😀
 
this thread sholud now be closed or washindane na mombasa..mji una footbridge sita....roads hawatufiki,mji uko hovyo,mchafu,ongoing projects tumewashinda.bado nni...gudbye pals mkileta msa vs dar ntarudi
 
Yani wewe kinachokusumbua kichwa ni bongo 2017 hio mwaka inakutesa sana wala hutaki kuikia bongo 2017 hahahaahhahahah...kikwete kawafanya mbaya sana na magufuli ndio anakomelea misumari kabisa hahahaha😀😀😀
Sasa Bongolala inatesa nano...GDP per capita ata South sudan inawachapa....your country is among 30 poorest....maze izeni
 
Wewe tatizo lako muoga sana hebu hesabu tena hizo floors acha uoga sana hesabu vzr kwa umakini
1MY0ainUCgA.jpg
 
this thread sholud now be closed or washindane na mombasa..mji una footbridge sita....roads hawatufiki,mji uko hovyo,mchafu,ongoing projects tumewashinda.bado nni...gudbye pals mkileta msa vs dar ntarudi
Hahahhaahhahaha hatujamaliza sasa unaenda wapi ahahhahahha ongoing below 20 ahaahhha twende kazi wanawake ndio wanakimbia sasa we dume inakuaje au we sio rizki hahhahaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwenye mega projects tumewachapa mabao sijui mutatokea wapi 😀😀😀😀😀😀😀😀 mwaka huuuuuuuu mbayaa
Yani instead ya government ijenge infrastructure inajenga towers mbili....waah footbridge tano watu 5 million...yanii kila bridge average 1 million people
 
Hahahhaahhahaha hatujamaliza sasa unaenda wapi ahahhahahha ongoing below 20 ahaahhha twende kazi wanawake ndio wanakimbia sasa we dume inakuaje au we sio rizki hahhahaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
kuhesabu buildings za below 20 nikazi kubwa sana ndugu...izo niuweke kujibamba cz sidhani kama zitaisha apa
 
Umeshindwa kuhesabu hahhahahahahaha siulisema 12 floors au zimebadilika hahahahahhaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀
mbona unarukaruka sasa...renders ukitaka apa ntakuekea za nai nzenye zinaenda hadi 50 na zaidi,cha muhimu ni the actual building...sio kazi ngumu kuiweka apa..waogopa nni kama iko 29 sinitakubali?
 
Back
Top Bottom