Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....

Thou the gdp of Zanzibar is nothing.

Waiting for Dar resort's
 
haziko hapo, kama ndo ulitembea hapo tuu basi hujaimaliza Dar bado na si rahisi kuimaliza Dar kimasihara masihara

Hapo kwny picha ni CBD na Bandarini
wakenya wanafikiri dar ni kama nairobi tu ambayo ukiizunguka siku mbili tu ushaimaliza!!
 
You don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....

Thou the gdp of Zanzibar is nothing.

Waiting for Dar resort's
hvi wewe akili yako iko sawa hebu nitajie visiwa viwili vinavounganisha zanzibarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukipata nungwi na kizimkazi nitagπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† ujuaji ukizidi mwishowe hua mjinga

narudia kukwambia hakuna sehemu yoyote east and central africa inaeza kaa meza moja na zanzibar kwenye hotels na kama yupo anaebisha mm nipo tayar twende kazi😝😝
 
You don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....

Thou the gdp of Zanzibar is nothing.

Waiting for Dar resort's
hahah zanzibar umeiogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ‘†πŸ‘†
naona thread imebadilika kua dar vs nairobi + msaπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Which part of Zanzibar.. si ni inchi?
nimekwambia nitajie visiwa vinavounganisha zanzibar na ukipata kizimkazi na nungwi nitag broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujuaji ukizidi mwishowe unakua fala 😝😝😝😝
 
bora tu kumuhamisha maana sio kwa ujinga huo ambao angeambukizwa huko.
hongera.
kwa hiyo hao watoto ni wajinga kwa sababu hawakuweza kuhesabu 1-100 kwa kiingereza???
sasa naomba Nikuulize swali bwana lewis,nani mjinga zaidi...??? kati ya hao watoto walioshindwa kuhesabu kiingereza na wewe mtu mzima unayewaita wajinga hao watoto walioshindwa kuhesabu 1-100 kwa lugha ya kiingereza????
Leo ndo nimeamini "chizi hajijui"
 
haya tuzunguke mji wa tanganyika
umeona slum au bado unatafuta slum kwa torchπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ile roho yako isuzike chukua picha za congo na nigeria useme dar😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…